Uoga wa mfungo wa ramadhan.

fundiaminy

JF-Expert Member
Jun 4, 2009
355
51
Jamaa kuona ramadhani imekaribia aingia msikitini na kuomba hivi:ee Mola naomba ramadhan ingekuwa kama world cup.iwe inakuja baada ya miaka minne na nchi ziwe zinaqualify.duh!!watu kwa kuogopa mfungo!!
 
Duu huyo jamaa hajatulia. Mimi ningelipenda Ramadhan iwe mwaka mzima kwa fadhila zake njema mno. Siku ambayo Mlango wa Rayyan utapokuwa wazi kwa ajili yetu huyo jamaa atatamani angelirejeshwa duniani atamani Ramadhan ingelikua maisha yake yote. Allah atupe nguvu na afya na atuzidishie imani Waislamu tuzidi kuufunga mwezi mtukufu wa Ramadhan.

.
 
Back
Top Bottom