Unyonyaji wa Vodacom umekithiri

Unyonyaji wa Vodacom umekithiri

Quality products and services are expensive. And businesses are try to adapt with the current business/economic instabilities as a result of miscalculated/misguided and poor political decisions. But you all have choices and options to choose from but fundamentally all options are the same, they are all broken i.e thieves in variety of ways so its the matter of choosing whom you think will accommodate your needs despite of the theft.
Tafsiri ya kiswahili mkuu........wengene std 1...to2
 
Vodacom wajinga....sawa
Vodacom wapumbavu....sawa
Vodacom wezi.......sawa

Unakwenda Vodacom kufanya nini? Ridhika ba tigo iliyo nafuu na tamu na nyepesi na rahisi na yakisasa
Tigo matapeli wa kwanza.....hapa tz..mkuu

Mwaka 2015 niliweka 2000 nilichelewa kujiunga wakakata ..juu kwa juu nika wapigia simu kuwauulza vipi tgo.

Majibu...

Nilijunga na huduma zao nka sema swa,nikaingia tigo ivushe nikavuta mpunga 50000...hadi leo hii sijwai lipa wal kuweka vocha wala tigo pesa................


ubaya ni ubya.....nani anataka upumbuvu......



Peace & Love
 
Huwa naitumia kwa wiki na kubaki kabisa, tena sms za kawaida ndio natumia kwa wingi zaidi maana kuna watu wanatumia simu ndogo na mawasiliano nao ni kupiga na sms tu.

Sasa iweje siku 3 tu ziwe zimekata ilihali MB bado zipo...

Hapa nilipo nimenunua kifurushi cha sms kwa 500/= cha 24hrs ili kusogeza hii siku.
Hii inawahusu matajiri kama nyie
 
Wajinga sana hawa Vodacom Tanzania, wamenipandishia bei ya vifurushi kutoka 2000/= kwa 1GB hadi 3000/= kwa 1.2GB. Sms wananiambia ni UNLIMITED lakini hadi sasa zimeisha kwa siku 3 tu.

Acheni uhuni Vodacom Tanzania, na hela yenu niliyokopa siirudishi nahamia kununua bando kwa M-pesa
Nilifikiri ni mimi peke yangu. Voda makalio sana keimamae zao!
 
Nachoshindwa kuwaelewa watumiaji wa voda ni hiki. Unaona kabisa huduma za huu mtandao hazikufurahishi lakini bado umekakamaa misuli kuendelea kutumia mtandao huo huo utafikri na wewe unamiliki share za hiyo kampuni.
 
Voda hamtufanyi poa kabisa hapa nimeshawakopa na laini naiweka kapuni
 
Back
Top Bottom