IIoT
JF-Expert Member
- Apr 21, 2014
- 1,063
- 1,408
Ipo sana tu labda sehemu uliyopoTATIZO HAWANA 4G
Ipo sana tu labda sehemu uliyopoTATIZO HAWANA 4G
Wajinga sana hawa Vodacom Tanzania, wamenipandishia bei ya vifurushi kutoka 2000/= kwa 1GB hadi 3000/= kwa 1.2GB. Sms wananiambia ni UNLIMITED lakini hadi sasa zimeisha kwa siku 3 tu.
Acheni uhuni Vodacom Tanzania, na hela yenu niliyokopa siirudishi nahamia kununua bando kwa M-pesa
umetisha mkui tena usiwalipe na mm nawaza sijui niwakope kwanza ndo niitupe hii lineHii ni aina nyingine ya wizi wanaoufanya mm nlikua nnakwatwa tsh 58 kila niwekapo salio data iko off ila ukiwapigia wanakwambia umeitumia kwenye internet hapo ndipo nlipojua ni weziVodacom wanabwereka sanaa sahiv mm nimeungwa kwenye kifurushi sijui cha red na sijawh kujiunga hiyoo kitu salio langu wakalikata nawapigia wanadai nilishwah kujiunga na mm sijawah wala sijawah mpa mtu simu yangu
Mkuu we hali yako ni mbaya mno still uko nao hehehe mm huo uvumilivu sina.Tena ndugu mbona ww vifurushi vyako bado bei poa tu...View attachment 1142015
Mkuu unlimited kwenye kuitumiabhyo kwa siku tatu..thonunaweza imaliza ata kwa masaaWajinga sana hawa Vodacom Tanzania, wamenipandishia bei ya vifurushi kutoka 2000/= kwa 1GB hadi 3000/= kwa 1.2GB. Sms wananiambia ni UNLIMITED lakini hadi sasa zimeisha kwa siku 3 tu.
Acheni uhuni Vodacom Tanzania, na hela yenu niliyokopa siirudishi nahamia kununua bando kwa M-pesa
Huwa naitumia kwa wiki na kubaki kabisa, tena sms za kawaida ndio natumia kwa wingi zaidi maana kuna watu wanatumia simu ndogo na mawasiliano nao ni kupiga na sms tu.Mkuu unlimited kwenye kuitumiabhyo kwa siku tatu..thonunaweza imaliza ata kwa masaa
Dah! Pia ukibakiza salio la 500 utakuta imebaki 401. Hapo huwa wanaiba sh. 99Hii ni aina nyingine ya wizi wanaoufanya mm nlikua nnakwatwa tsh 58 kila niwekapo salio data iko off ila ukiwapigia wanakwambia umeitumia kwenye internet hapo ndipo nlipojua ni wezi