Unyonyaji wa Vodacom umekithiri

Godfirst

JF-Expert Member
Dec 7, 2017
406
468
Wakuu kama kichwa kinavyojieleza, ni mtumiaji na mteja mzuri wa huo mtandao tajwa hapo juu ila kwa sasa wanachokifanya ni unyonyaji na si kutoa huduma.

Kadri siku zinavyoenda kwa upande wangu vifurushi vyangu vinazidi kupunguzwa mpk sasa tsh 500 napata mb 50 sijui tunakomoana au sababu mna coverage kubwa lazima watu wawe na line zenu na kwa watumiaji wa smartphones tunajua kua hizo mb hazilast hata lisaa ukikaa serious kugoogle your stuffs.

Najua mtasema nihame mtandao and YES nnahama but kama mkereketwa wa hili jambo nmeona nisiliache hivyo Tu lipite pengine tukipaza hata sauti zetu tunaweza badilsha jambo mahali.

Sijui hali zenu watumiaji wa voda zipoje huko?!!!?!
Screenshot_2019-06-29-13-30-04.jpeg
Screenshot_2019-06-29-13-07-09.jpeg
 
Wakuu kama kichwa kinavyojieleza, ni mtumiaji na mteja mzuri wa huo mtandao tajwa hapo juu ila kwa sasa wanachokifanya ni unyonyaji na si kutoa huduma.
Kadri siku zinavyoenda kwa upande wangu vifurushi vyangu vinazidi kupunguzwa mpk sasa tsh 500 napata mb 50 sijui tunakomoana au sababu mna coverage kubwa lazima watu wawe na line zenu na kwa watumiaji wa smartphones tunajua kua hizo mb hazilast hata lisaa ukikaa serious kugoogle your stuffs.
Najua mtasema nihame mtandao and YES nnahama but kma mkereketwa wa hili jambo nmeona nisiliache hivyo Tu lipite pengine tukipaza hata sauti zetu tunaweza badilsha jambo mahali. Sijui hali zenu watumiaji wa voda zipoje huko?!!!?!View attachment 1142002View attachment 1142004
iyo Uni waneshusha tena!...sasa naona voda wamenishika matako
 
Vodacom wanabwereka sanaa sahiv mm nimeungwa kwenye kifurushi sijui cha red na sijawh kujiunga hiyoo kitu salio langu wakalikata nawapigia wanadai nilishwah kujiunga na mm sijawah wala sijawah mpa mtu simu yangu
 
Dah! Voda walipandisha bei ya vifurushi vyao (twice as much) the next day wametoka kulipa bil6 haijapita miezi wamepandisha tena twice as much juzi juma tano 🤦🏽‍♂️🤦🏽‍♂️
Au ndo shillingi imeshaanguka dhidi ya dola mtuambie manake naskia Tigo wameshajibu mapigo na wenyewe ingawa sio kwa kiwango kama voda
 
Back
Top Bottom