Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,746
- 25,638
Mkuu yaani wewe kama mimi tu yaani.Tena ndugu mbona ww vifurushi vyako bado bei poa tu...View attachment 1142015
Hawa Vodacom Tanzania washenz sana hawa yaani ukiweka vocha ata ya 500 wanakuona wewe ni levo ya akina Jeff Bezos yaani misms yao sijui weka 500 upate dakika na sms nyingi ni kero

