MR LINKO
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,034
- 3,544
Siku mojaaaaHii ni kwa muda gani,maana nilikuwa naenda airtel?
Siku mojaaaaHii ni kwa muda gani,maana nilikuwa naenda airtel?
Mtu wa mbwinde kule atafaidika nazo vipi? wakati voda pamoja na ughali wao wana 3G vijijini
Mzee mbona sasahivi mitandao iko mingi sana? Au nyie ndio wale washamba mnaoamini mkihama mitandao mtakufa?Wakuu kama kichwa kinavyojieleza, ni mtumiaji na mteja mzuri wa huo mtandao tajwa hapo juu ila kwa sasa wanachokifanya ni unyonyaji na si kutoa huduma.
Kadri siku zinavyoenda kwa upande wangu vifurushi vyangu vinazidi kupunguzwa mpk sasa tsh 500 napata mb 50 sijui tunakomoana au sababu mna coverage kubwa lazima watu wawe na line zenu na kwa watumiaji wa smartphones tunajua kua hizo mb hazilast hata lisaa ukikaa serious kugoogle your stuffs.
Najua mtasema nihame mtandao and YES nnahama but kama mkereketwa wa hili jambo nmeona nisiliache hivyo Tu lipite pengine tukipaza hata sauti zetu tunaweza badilsha jambo mahali.
Sijui hali zenu watumiaji wa voda zipoje huko?!!!?!View attachment 1142002View attachment 1142004
Du, kweli nyumbani kumenoga
Daah! Mzee umeuliza serious au jokes tuMenu gani ii mkuu
Halotel mkuu Airtel Ni wale waleMaoni yenu wdau kati ya halotel na airtel ipi iko vizuri kwenye internet bundles na coverage
Daah! Mzee umeuliza serious au jokes tu
Ingawa jibu lako halipo kiustaarabu ila nmeshajifunzaga kudeal na watu km nyinyi..nmeshahama tyri ila nlipenda kuhama kwa keleleMzee mbona sasahivi mitandao iko mingi sana? Au nyie ndio wale washamba mnaoamini mkihama mitandao mtakufa?
Kama umeshahama basi wewe sio mshambaIngawa jibu lako halipo kiustaarabu ila nmeshajifunzaga kudeal na watu km nyinyi..nmeshahama tyri ila nlipenda kuhama kwa kelele




umetisha mkui tena usiwalipe na mm nawaza sijui niwakope kwanza ndo niitupe hii line
Acha masihara...ni line ya chuo?