Fiction.
Faini ambayo unatakiwa kulipa hapo hapo, na halafu ni negotiable, ni rushwa. Walikuwa wanataka kupozwa.
Sasa polisi mkishindwana kwenye viwango vya rushwa hawezi kuanza kukupa kipondo, ataingia garini na kukuamuru uelekee to the nearest mazabe, all the while, negotiation zinaendelea.
Na kama ukipigwa hawezi tena ku strike a deal na wewe eti ukienda mbele ukimaindiwa na polisi wengine waambie tumeshamalizana na wengine huko nyuma, hiyo ni kama mlielewana ki-rushwa rushwa, sio kama ulipewa kipondo. Ndivyo wanavyo operate. Unless kuna mengine yalitokea/yalijibizana hapo katikati.
Story hii imetiwa garlic salt, black pepper, curry powder, na all-purpose seasoning!