bwegebwege
JF-Expert Member
- Jul 30, 2010
- 1,071
- 185
Jamani hii imetokea jioni hii pale Magogoni, nia inayopita Ikulu kutokea Ferry kuelekea Upanga! Mtangajika mmoja amepita akiendesha gari muda mfupi baada ya saa 12 Jioni, cha ajabu FFU waliokuwa zamu wakamkimbiza kwa kuwa hairuhusiwi kupita pale muda huo, kijana wa watu akasimama na kujieleza kuwa hakuona kibao na ni mgeni, Cha kushangaza aliamuriwa yafuatayo:-
1. Alipe faini ya shilingi 80,000/= (ambayo baaday eilipunguzwa hadi kufikia 50,000/= baada ya kjana yule kulalamika kuhusu hilo). Na hat ahiyo elfu 50, masikini yule kijana hakuwa nayo, alikuwa na 5000/= tu mfukoni!!! ALipoeleza hayo wale askari wakamnyanganya hele hizo na kasha wakamwambia kwa kuwa amekosa faini basi watamuadhibu hapo hapo!!
2. ADHABU: Kijana wa watu alichangiwa kwa kupigwa sana mateke na virungu na askari hao, pamoja na kumnyanganya hela yake aliyokuwa nayo (5000/=)!! Baadaye akatakiwa kuondoka mara moja eneo la tukio na kuelezwa kwamba endapo akikutana na askari wengine mbele ya safari wakimuona anatokea njia ile basi awaeleze kuwa TAYARI AMEMALIZANA NA KIKUNDI HICHO CHA MWANZO
Hii ni kweli imetokea, jioni ya leo (majira ya saa moja na nusu jioni) nanimejikuta nina maswali meeengi sana .
Hivi utaratibu uliopaswa kufuatwa ni upi?? Kama amekosa si angepelekwa moja kwa moja Central Police??
Inakuwaje Polisi wetu wanamvamia na kumshambulia raia amabaye hana silaha na amejisalimisha kwao?? Naelewa kupiga virungu ni pale tu endapo mtuhumiwa anakataa kukamatwa kisheria au anatiumia nguvu katika kuping akukamatwa kwake hapo pia polisi hawa wlaipaswa kutumia REASONABLE FORCE!! Anaposhambuliwa raia mwema kama huyu, ambaya hajakaidi hat akidogo agizo la askari ni haki??
Wana JF naomba msaada wa mawazo, kama kuna mwenye anuaniya barua pepe ya Mh. Nahodha naomba msaada ili tuelimishane!! Hili halikubaliki na ni aibu kubwa kwa nchoi inayojisifia kuwa inaongoza kwa amani!
KAMA MH NAHODHA NA WATENDAJI WAKE WANASIKIA HILI HEBU FANYENI KAZI ..