unyanyasaji huu hadi lini?

jchofachogenda

JF-Expert Member
Jan 8, 2012
537
123
unyanyasaji huu wa kijinsia mpaka lini? Tafakari, chukua hatua.
552935_153475258115718_100003597343799_188195_549216231_n.jpg
 
:spy:waigizaji,bwana,,,,kwanini mpiga picha asiwaamue...au ndo za kutafutia wafadhili za kina ananilea kya na kijo,,:spy:
 
na mimi huwa najiuliza hivi inaraha gani kupiga picha ya mtu anayenyanyaswa ili uitoe kwenye habari wakati unaweza kumwokoa asipate manyanyaso hayo kwa kuwa eneo la tukio?
 
Duh! Huyu jamaa naona ana roho kama Kongosho. Yaani anamshika mtoto kama sanduku!!!
@Young_Master kama ni huku ulaya huyu jamaa anakwenda Lupango kwa kosa la kumshika mtoto vibaya kama gunia la muhogo na kwa kumpiga mama mtoto anakwenda jela mwaka 1 huko nyumbani Wanaume tunawaonea sana wanawake huku kuna haki ya mtoto na mke wewe Mwanamme huna ruhusa kumpiga mtoto wala mke wako utakwenda jela ukifanya hivyo.
 
Hawa watakuwa wanagombania mtoto.Hii kama sio kanda ya ziwa mikoa ya mapanga sijui
 
Back
Top Bottom