Anselm
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 1,710
- 291
Chadema inaonekana kuwa makini sana pale bungeni na hata kwenye mahojiano na vyombo vya habari na wamekuwa hawasikii ,wakiambiwa wakielekezwa wanakuwa na misimamo isiyoambilika.Wanajiona wao ni wao hizi ni kasumba za Mwalimu Nyerere kiasi kufika kuitwa baba haambiliki ,jina ambalo alilichukia sana.
Safu hii ya Chadema iwapo watafanikiwa kuongoza dola hii,(Inshaallah wafanikiwe) tumeichoka CCM,kuna uwezekano kuiendesha au kuiongoza Tanzania kama itakuwepo kwa kutumia utawala wa kidikteta ni kushinda CCM ,bila ya shaka kutaiweka nchi katika woga na uhuru wa mwananchi utakuwa finyu.
Sioni busara yeyote ile wanayoitumia pale bungeni ,sioni hekima yeyote ile wanayoitumia katika lugha dhidi ya vyombo vya dola ,hivi wanataka kutuambia watakapo ingia katika duru ya kuiongoza Tz watavunja vyombo hivi wanavyovidharau na kuona haviwatendei haki.
Unyanyapaa huu wa kuvikomalia vyombo vya dola na kuvibeza ni jambo linalotia hofu sana.
Mkuu ukiendelea kuwa na bahati wataendelea kutiririsha ulevi wao huohuo mpaka pale watakaporidhika,lkn bahati ikikupungukia utakoga mitusi wewe mpk ujute kuja na thread hii,hawa ndo CDM wa JF bwana,Viumbe wanaoamini kuwa wao mpaka Viongozi wao ni Malaika wasio na mapungufu hata chembe.
All in all nimekukubali wewe ni MWIBA na umewachoma,wakubali wakatae.