Unyanyapaa wa Chadema

Unyanyapaa wa Chadema

Chadema inaonekana kuwa makini sana pale bungeni na hata kwenye mahojiano na vyombo vya habari na wamekuwa hawasikii ,wakiambiwa wakielekezwa wanakuwa na misimamo isiyoambilika.Wanajiona wao ni wao hizi ni kasumba za Mwalimu Nyerere kiasi kufika kuitwa baba haambiliki ,jina ambalo alilichukia sana.

Safu hii ya Chadema iwapo watafanikiwa kuongoza dola hii,(Inshaallah wafanikiwe) tumeichoka CCM,kuna uwezekano kuiendesha au kuiongoza Tanzania kama itakuwepo kwa kutumia utawala wa kidikteta ni kushinda CCM ,bila ya shaka kutaiweka nchi katika woga na uhuru wa mwananchi utakuwa finyu.

Sioni busara yeyote ile wanayoitumia pale bungeni ,sioni hekima yeyote ile wanayoitumia katika lugha dhidi ya vyombo vya dola ,hivi wanataka kutuambia watakapo ingia katika duru ya kuiongoza Tz watavunja vyombo hivi wanavyovidharau na kuona haviwatendei haki.

Unyanyapaa huu wa kuvikomalia vyombo vya dola na kuvibeza ni jambo linalotia hofu sana.

Wewe ni pumbavu kabisa vyombo vya dola havinyanyasi chadema tu angalia ukweli usiwe mnafiki mjinga mkubwa wewe uko sayari gani wewe hata usione manyanyaso ya serikali kwa CHADEMA mambo mengine muwe mnaongea na wake zenu tu siyo kuleta ujinga humu jamvini
 
Tatizo majuha kama nyie ukifika mwezimchangakama huu mnazidi ujuha.
 
Tatizo majuha kama nyie ukifika mwezimchangakama huu mnazidi ujuha.

Pole kaka sina la kukuambia kipofu huwezi kumuonyesha njia endelea tu kufagilia chama chako lakini siku yakikupata utakumbuka maneno yangu japo hutakuja jf kusema kilichokupata.
 
kuna ki2 nyuma ya chadema ni kibayasana watz wengi hawajuwi,, mwenye nafasi anipigie

Ni wapumbavu tu kama wewe ndiyo wanaweza kusikiliza vitisho vyako lakini wenye akili tuasonga mbele CHADEMA TU ndiyo nyie huwa mnawaambia wajinga wenzenu vyama vya upinzani vitaleta vita kwa kuwaonyesha picha za vita za Rwanda na Burundi kwa hapo umetukosa jaribu kwingine huna unachojua zaidi ya uwongo ulliotungwa na Magamba potelea mbali kabsaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa hapa hutupati ng'o hata kawa kadi ya Kaya kama ulikuwepo enzi hizo.
 
nimefurahishwa sana na great thinkers walivyomzihirishia GAMBA mwiba akili yake ni ndogo kuliko ya dhaifu. I appreciate!!!
Tatizo CCM inashindana na CDM badala ya kushughulikia matatizo ya watz, HAKIKA MUNGU ATAZIDI KUIAIBISHA HII SERIKALI MARA KADHA WA KADHA KWA HASIRA YAKE KWA WAOVU HAWA MAGAMBA.
 
Wakati muvi inaendelea mda wote huo wassira na komba walikuwa wamelala daaah walivyoamka bwana
 
Sidhani kama Mwiba utarudia kuleta mada tena JF (kama zinakutosha lakini)!!
 
Sidhani kama Mwiba utarudia kuleta mada tena JF (kama zinakutosha lakini)!!

ukumbi wa piusi msekwa ulijaa vilio na wabunge wakasema lazima lazima Anna makinda awajibishwe kwa kupiga kura ya kutokuwa na imani nae!
 
Vyombo vya Dola kweli vinazingua!tatizo lenu mnanidhamu ya uoga!na ndo maana hamuwezi kubadilika kitabia!Unashtuka nini sasa CDM kuwasema ukweli vyombo vya Dola kama kina KIWIA walishambuliwa mbele ya POLIS na kujeruhiwa vibaya!Juzi tumeona KOVA anabishana na Mchungaji!kusoma hujui hata Picha nayo huoni!So unataka Police waendelee kubembelezwa ili wajue wanachokifanya ni sahihi!Ni kawaida tu kwa kiongozi wa Taifa kuzifuma upya sekta zote zinazohusika nchini So hata jeshi la polisi litasukwa Upya na waliokithiri kwa mabaya wataenda Jela,wapo watakaofukuzwa na wapo watakaohamishwa bila kuwasahau watakaostaafishwa pia!
 
Wacheni ulimbukeni yaani mnajificha kwa kutafuta yasiyohusika,najua nimewagusa vibaya sana ,na zaidi nyie wafuata upepo na wapiga debe mna tabu sana hapa JF,yaani kama mimi ndio mode hawa wenye majibu yasioeleweka,ningewavunja vidole na kuwatia upofu ,wasiione JF kama mwezi hivi.

Suali lipo wazi ,ni kujibu tu hii Nchi mnaipeleka wapi ikiwa leo hamjui mtendalo,magwanda mazito ,mnatuonyesha ubabe au sio ,CCM yao ya kijani nyie yenu makaki mnataka kuifanyia makeniki na ukarabati hii nchi.

hayo magwanda huvaliwa na madikteta na sera za unyanyapaa pale bungeni na kuvikandia vyombo vya dola ni ishara mbaya za utawala wenu,hivi mtaunda jeshi jipya na usalama mpya ,mmewaahidi wangapi pale usalama wa Taifa kuwapa ulaji ,mnaipeleka nchi hii kubaya zaidi ya hapa tulipo.
Njoo kesho ofisini tuangalie jinsi ya kukupeleka studio! Naona kazi unaimudu vizuri!
 
Mi sipati picha,jinsi nitakavyomuona jk akikabidhi madaraka ya urais kwa dr slaa.nadhan itakuwa kumbkmb ya kipekee.

Yaani wewe unaota asbh na jua lishachomoza,wanakupa kiburi washabiki wa CDM waliopo JF?kwa taarifa yako hawazidi elfu 90 member wote jf,labda kanda ya kaskazini mtakabidhiwa iwe nchi yenu'
 
Yaani wewe unaota asbh na jua lishachomoza,wanakupa kiburi washabiki wa CDM waliopo JF?kwa taarifa yako hawazidi elfu 90 member wote jf,labda kanda ya kaskazini mtakabidhiwa iwe nchi yenu'

hivi ahmad Rashidi ana toka wapi vile?
Maana alivyo omba muongozo nahisi spika hakumsikia!
 
Naona jinsi wanachama na wapenzi wa CDM mnavyochangia ,halafu ndio mpewe nchi ,ni bora CCM ikazuia hapohapo ,bado hamjafikia kuachiwa nchi mkaongoza ,mmechooka kwelikweli ,hamna kitu vichwa vitupu na mawazo mgando ,angalau mmepata cha kuandika.

Haya subirini 2015 ,mushuhudie CCM inavyoibuka kidedea.na ndio mwisho wa CDM.

Mwiba,

If you can't fight them, join them!
 
Baada ya wabunge wa upinzani kutoka nje ,wabunge wa CCM waliobakia wote walikuwa wamepiga mbonji
Kiasi kwamba kuendelea na Bunge ulikuwa upuuzi.
 
ukumbi wa piusi msekwa ulijaa vilio na wabunge wakasema lazima lazima Anna makinda awajibishwe kwa kupiga kura ya kutokuwa na imani nae!

Suala la Makinda liko mahakamani hivo halitakiwi kujadiliwa, tutakuwa tunaingilia uhuru wa mahakama!! <>Lukuvi

Upo mkuu habari za Kemondo ndugu? Ogu talishubila!!
 
Chadema inaonekana kuwa makini sana pale bungeni na hata kwenye mahojiano na vyombo vya habari na wamekuwa hawasikii ,wakiambiwa wakielekezwa wanakuwa na misimamo isiyoambilika.Wanajiona wao ni wao hizi ni kasumba za Mwalimu Nyerere kiasi kufika kuitwa baba haambiliki ,jina ambalo alilichukia sana.

Safu hii ya Chadema iwapo watafanikiwa kuongoza dola hii,(Inshaallah wafanikiwe) tumeichoka CCM,kuna uwezekano kuiendesha au kuiongoza Tanzania kama itakuwepo kwa kutumia utawala wa kidikteta ni kushinda CCM ,bila ya shaka kutaiweka nchi katika woga na uhuru wa mwananchi utakuwa finyu.

Sioni busara yeyote ile wanayoitumia pale bungeni ,sioni hekima yeyote ile wanayoitumia katika lugha dhidi ya vyombo vya dola ,hivi wanataka kutuambia watakapo ingia katika duru ya kuiongoza Tz watavunja vyombo hivi wanavyovidharau na kuona haviwatendei haki.

Unyanyapaa huu wa kuvikomalia vyombo vya dola na kuvibeza ni jambo linalotia hofu sana
.

Wewe unachoongea hapa ni utumbo perce!

Hivi wewe kwa akili yako unafikiri CHADEMA wataendelea kutetea UOZA ULIOPO KWENYE VYOMBO VYA DOLA kama POLISI,UWT,PCCB,UHAMIAJI n.k.? Ni wendawazimu tu kama CCM wanaotetea ujinga na uozo huu kwasababu wananufaika na upuuzi unaofanywa na vyombo kwa maelekezo ya CCM.

Kwa taarifa yako ni kwamba CHADEMA wakiingia madarakani wana uwezo wa KUFUMUA VYOMBO NA IDARA ZOTE ZA DOLA na kuvijenga upya. Kama wewe ni mfuatiliaji wa mageuzi duniani jifunze na kile ALICHOKIFANYA RAIS MPYA WA MALAWI BI. JOYCE BANDA BAADA YA KUSHIKA MADARAKA. ALIANZA NA IGP WA MALAWI KWA KUMTIMUA KAZI NA WAKUU WENGINE WA VYOMBO VYA USALAMA NA SASA MALAWI INASONGA MBELE!

NDICHO WATAKACHOFANYA CHADEMA WAKIINGIA MADARAKANI. KUNA WATU WAZURI NA WEMA NA WASIOKUBALI KUTUMIWA NA CCM NDANI YA VYOMBO HIVYO HIVYO VYA DOLA.
 
Back
Top Bottom