shukrani ya punda mateke!! hawa wasauzi si naskia wamesaidiwa sana na waafrika wenzao hususan watanzania kwenye harakati zao wakati huo apartheid imepamba moto?!
na wanashabikia sana ugaidi wa kujitoa mhanga.
Tabby mi nimekaa kule sijawahi kuona watu wenye rohombaya na wapenda ngono kama wazulu
matukio haya wangefanya waislam ingeitwa ugaidi lakini sababu wafanyaji ni makafiri yaitwa uhalifu na violating of right to live

Guilty consious inakusumbua..matukio mabaya yanafanywa kila sehemu..tafsiri ya ugaidi inafuatana na kwa nini umefanya...kama muislamu akimuua mtu kwa kuwa kamfumania, kwa mfano, hawezi kuitwa gaidi..na nyie ndo makafiri wakubwa kupita maagizo kwa sababu ya kuwaita wenzenu makafiri...hicho kitu ulichotumia kupostia hii pumba kimetengenezewa uarabuni????
Kama unatumia kifaa kilichotengenezwa na ------ basi we ni ------ pia
Mmh naahirisha kuwasema my naipenda ndoa yangu
Mimi sihitaji kuambiwa nimewaona kwa macho yangu wengi walikuwa wakiishi maeneo ya mwenge na savei pia wengi wamesoma UDSM si kuwa mdogo kivile tena kama wazimbabwe wengi baada ya uhuru waliporudi kwao walipata nafasi nzuri tu za uongozi. Hawa wa south ndio usiseme hata punda zilizopo kwao asili yake ni Singida ndio mchango wao. Leo hii wamesahau yote wanawafanyia hivyo ndugu zetu inauma sana.
Tuliwapa kipande cha ardhi kule mazimbu baba Mandela na Nyerere wangekuwapo
Jana nimeona jamaa kapigwa ngumi kuanguka likafuatiwa jiwe la tumbo japo simfahamu nilidondosha machozi. hawa watu ni katili sijui kwa nini tuliwasaidia. Nimewachukia sana