Habari zenu ndugu zangu watanzania. Leo naomba tujadili unyama wa serikali ya ccm na washiriki wake.
Tanzania ni nchi yenye majabu sana ila October 29, 2025 kuna upumbavu na ujinga ambao umeonekana wazi wazi kwenye macho ya dunia ambao ulikuwa haujawahi kushuhudiwa kwenye nchi yoyote hapa duniani.
Kwanza kabula sijaendelea naomba ni tumie nafasi hii kuwapa pole Gen -z wa Tanzania kwa kufanya kazi ambayo sisi gen-milinium na generation za kabla yetu zote zilishindwa kufanya.
Sisi tulishindwa kupigana vita hivi vya ukombozi wa taifa kwasababu ya ujinga,ubinafusi, upole na uvumilivu wa kijinga. Vijana wetu mlio zaliwa kuanzia 1990 kuja mpaka 2010 , mimi na wote wenye umri kama wangu tulio zaliwa kuanzia 1980 kurudi nyuma tunapaswa kuwaomba msamaha na kuwapa nyie Gen-z heshima zote.
Kazi mliyo ifanya ya kujitowa kwa hali na mali kupingania nchi yenu tareheb29/10/2025 ni kazi ambayo sisi wazazi wenu tulipaswa kuipigana miaka 30 iliyopita. Sisi ni watu wa ovyo sana tulishindwa kuona hii hatali inayo wakabili nyinyi Gen-z . Tulikwepa wajibu wetu wa kuandaa maisha bora ya watoto wetu .
Tulifuga nyoka na mizimwi inayoitwa ccm kwasababu tu ya kuogopa kufa. Sasa joka hilo ccm linatuuwa sisi na watoto wetu . Kibaya zaidi wazazi wa Gen-z badala ya kuwa mbele kupambana na zimwi hili ccm tulilo lifuga sisi wenyewe , sisi tunatanguliza watoto wetu mbele huku sisi tukiwa busy na kulaumu watoto wetu wanao pambana na zimwi ccm.
Wanangu wa Gen- z nawashauri msitusikilize sisi wazazi wenu hatujui chochote cha kuwafundisha. Nyinyi endeleeni mbele mkombowe nchi yenu. Hili joka ccm haliwezi kuacha kuishi kwa kunywa damu zetu mpaka pale mtakapo likata kichwa.
Tarehe 29 mwezi ulio pita mmeliamsha joka hilo ccm sasa mkirudi nyuma mtakuwa mmlipa mda wa kujipanga namna ya kuwamaliza wote.
Hivyo nawashauri Gen- z songa mbele. Tarehe 9/12/2025 tokeni wote mzibe milija ya joka hili linayo tumia kunyonya damu zenu. Mkiziba milija vizuri joka litakufa haraka sana.
Bada ya hayo nataka ni malizie kwa kusema, yoyote ambaye bado anajiita ni mwanaccm baada ya tarehe 29/11/2025. Huyo mtu sio binadamu kabisa. Hata kama ni mama yako na bado yupo upande wa serikali ya ccm huyo muogope kama ukoma .
Huyo anaweza hata kuuza wanaye kwa vipande vya fedha. Kwa upande wangu tangu leo mtu yoyote nitakaye muona anavaa nguo za ccm hata kama ni mwanangu au mama yangu nitamuona kama nyoka., na mausiano yangu na yeye yatakuwa kama ya nyoka na binadamu.
Huu ujinga wa viongozi wa serikali ya ccm sio ujinga wa kawaida ni ujinga ulio chaganyika na kiburi, zarau, na ulevi wa madaraka.
Haiwezekani kwa binadamu mwenye akili timamu akaongea kama Samia na Chimbi walivyo ongea baada kuuwa maelfu ya watu , yaani hata kutowa pole kwa walio potelewa na wapendwa wao hakuna.
Halafu Chimbi naye bila aibu anakuja kuongea habari za maridhiano mbele ya watu wanao tafuta miili ya wapendwa wao! Kweli? Nashindwa la kusema juu haya mazimwi ccc.