Mkuu kwa hili ni kweli kabisa... hizi ni dakika za majeruhi na cha maana ni wewe ku-calm down!!! jichukulie kama unaoa mkeo vile halafu utaona mambo yalivyo rahisi
the most difficult part ya ndoa ni pale mnapoandaa mambo, vitu kama utambulisho, posa, kupanga dates nk. lakini kwa sasa hata iweje omba uzima utashangaa mambo yanavyokwenda
I am certain kwamba utaona tambarare
Umeshaanza likizo?
well,
nipo free kiaina!
jana tulikuwa na kikao cha bajeti kimeisha saa saba usiku!...nimerudi home nimepigwa na mvua haijawahi kutokea!...IMENIUMA SANA
NIMEFIKIRIA MAMBO MENGI HADI NIKAKARIBIA KUKUFURU
...there you go!
mkiwa kwenye uchumba kuelekea kwenye maandalizi mpaka siku ya harusi, kuna 'alinacha' nyingi sana unakumbana nazo... kila mtu anataka kukuonyesha wewe ndiye wewe...
Kimbembe kinaanzia the morning after the night before...
Unaamka kitandani na maruweruwe ya jana unaangalia upande wa pili wa mto na kujiuliza "...WTF?" (excuse my french)
Hahaaaa... there you go!!!! Its for life dude... Yes, for the rest of your life!!!! Hahahaaaa
Currently Active Users: 1434 (199 members and 1235 guests)
Du it seems we have a problem here...Legends at work!
Mkuu De Novo asante kwa salaaam za jana, nimezipata mkulu! Many thanks!
ujumbe mzito huo ndio maana tunakodolea macho
Hivi carmel unapataje email ID ya JF??