Unofficial Whatssap imekuwa changamoto katika simu yangu

ashomile

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
2,621
2,425
Habari za Asubuhi Wapwa?

Naombeni nilete kitu kwenu, mimi ni mtumiaji mzuri wa unofficial WhatsApp kama vile Yo WhatsApp , FM WhatsApp, GB WhatsApp , shida imekuja jana baada ya simu yangu kuwa inaniletea ujumbe unaosema niiondoe kwenye simu hii Yo WhatsApp kuwa ina virus,lakini niliiondoa simu ikiaacha kuleta ujumbe huo, ila mimi napenda sana kutumia unofficial huwa najihisi niko dunia tofauti, nimejaribu kudownload upya mambo ni yale yale ila nikichukua ya play store hakuna ujumbe wowote na simu inaonekana iko safety.

Wadau nanyi mmekumbana na issue kama hii?

Screenshot_2020-09-17-07-29-40-41.jpg
 
View attachment 1572068
Tumia FM ndo ipo fresh achana na hizo nyingine
 
Tumia official whatsapp tu maana hiyo antvirus imeji update kikamilifu, au kama unaweza kuitoa hiyo antvirus itoe uendelee kula maisha.

shakazulu
 
Naomba kujua kwan hizo Whatsap nyingine zina nini haswa cha zaid kilichoizidi hii Official Whatasp? Mm natumia Official maana naamini ndo yenye usalama zaidi!
 
Faida ni nyingi sana kubadili themes unayoitaka , styles , antidelete messages, kuview status + kudownload papo hapo , hizo ni baadhi tu .
Tizama huu muonekano nilioweka ulivyomtamu.
Screenshot_2020-09-17-11-37-30-41.jpg
Screenshot_2020-09-17-11-37-34-51.jpg
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom