We piga ndondo tuNi kama mkulima wa mbaazi kwenda na ndoano shambani kuvuna samaki sato. Yani kuna vitu vigumu kuliko hata kuchemsha maharage kwa mwanga wa jua.
Truth be said, for it shall set you free na pia tukumbuke dawa chungu ndo inaponya ugonjwa. Yani uwe na miaka zaidi ya 30 afu "am looking for mr right" ??!! Ulikua wapi mda wote au ndo ulikua bado unajimwambafai na kadegree kako umekongoroka sasa "am looking for mr bla bla bla"
Ukweli mchungu, HAUTAMPATA ! Jiandae kisaikolojia. Mosi "mr right" kama jina lake lilivyo ni right anahitaji mwanamke mbichi (fertile, young and beautiful) vitu ambavyo wewe shangazi yetu huna hata kimoja.
Shangazi utavuna ulichopanda jeuri, kiburi, ujuaji na ufeminism wako kuolewa kwako chance ni 0.01% na atakae kuoa ni mwanaume wa ovyo ovyo tu no high value man will go for an old, infertile ugly thing like you. HATA kama ni wewe imagine una hela ya kutosha utaenda kununua gari used mbovu au mpya ?!!
Yani miaka 5 mbele wewe ni mti usizaa matunda a.k.a bua, ok haujanielewa a.k.a makapi menopause hii hapa afu mwanaume mwenye akili nafasi ushawishi na rasilimali akufuate wewe. Wanawake mjifunze kua mda wenu wa kua na soko ni mchache sana sasa ufeminism na viburi either vya kisomo au 50 kwa 50 ngangari mtakula jeuri yenu.
Ushauri wangu 30 plus unmarried pokea kwa mikono miwili chochote ilimradi kinapumua hicho ndo halali yako. Ebu kua serious, yani high value man akuoe wewe wakati there tons of young, beautful girls full of life out there then that will be the stupidiest "mr bla bla bla".
Vipi mtoto je unae?
Baada ya miaka mitano wewe ulieoa under 30 uje hapa utupe mrejesho wa ndoa yako kama hautakuwa kitandani umeparalyse kwa stress za ndoa.ulaaniweNi kama mkulima wa mbaazi kwenda na ndoano shambani kuvuna samaki sato. Yani kuna vitu vigumu kuliko hata kuchemsha maharage kwa mwanga wa jua.
Truth be said, for it shall set you free na pia tukumbuke dawa chungu ndo inaponya ugonjwa. Yani uwe na miaka zaidi ya 30 afu "am looking for mr right" ??!! Ulikua wapi mda wote au ndo ulikua bado unajimwambafai na kadegree kako umekongoroka sasa "am looking for mr bla bla bla"
Ukweli mchungu, HAUTAMPATA ! Jiandae kisaikolojia. Mosi "mr right" kama jina lake lilivyo ni right anahitaji mwanamke mbichi (fertile, young and beautiful) vitu ambavyo wewe shangazi yetu huna hata kimoja.
Shangazi utavuna ulichopanda jeuri, kiburi, ujuaji na ufeminism wako kuolewa kwako chance ni 0.01% na atakae kuoa ni mwanaume wa ovyo ovyo tu no high value man will go for an old, infertile ugly thing like you. HATA kama ni wewe imagine una hela ya kutosha utaenda kununua gari used mbovu au mpya ?!!
Yani miaka 5 mbele wewe ni mti usizaa matunda a.k.a bua, ok haujanielewa a.k.a makapi menopause hii hapa afu mwanaume mwenye akili nafasi ushawishi na rasilimali akufuate wewe. Wanawake mjifunze kua mda wenu wa kua na soko ni mchache sana sasa ufeminism na viburi either vya kisomo au 50 kwa 50 ngangari mtakula jeuri yenu.
Ushauri wangu 30 plus unmarried pokea kwa mikono miwili chochote ilimradi kinapumua hicho ndo halali yako. Ebu kua serious, yani high value man akuoe wewe wakati there tons of young, beautful girls full of life out there then that will be the stupidiest "mr bla bla bla".
Safi..njoo tuyajenge..bhasi enh...
Tujenge mambo fulani mazuri mazuri...
jiwe limempata mtu gizani anapiga kelele yalaaa!![emoji16][emoji16]Baada ya miaka mitano wewe ulieoa under 30 uje hapa utupe mrejesho wa ndoa yako kama hautakuwa kitandani umeparalyse kwa stress za ndoa.ulaaniwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo tehee huwa naioa kwenye texts za wakina dada ninaochat. Na wewe ni mdada?Tehee hee hakuna kisasi nacholipa ila natoa tahadhari kwa wanawake ambao ni dada zetu mnapotea.
Hili swali hajawahi kuulizwa tangu mwaka uanze.Wew toka uanze kutafuta uko na hela ngapi?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]jiwe limempata mtu gizani anapiga kelele yalaaa!![emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Au tuloolewa na 26 hatukui tukafikia 30 kwenda mbele๐ ๐๐ ๐๐Watu wengi wanafikiri wadada wote wenye 30+ hawajaolewa eti sababu walicheza na ujana. Si wote, tena kuna wengine ni innocent kabisa, au kuna mwanaume alimpotezea muda........ Acha watu waishi maisha yao, mbona agemate wakifa hatujilaumu sisi? Ila tuna wasumbua watu kuona agents wao wameolewa!
Au tuloolewa na 26 hatukui tukafikia 30 kwenda mbele๐ ๐๐ ๐๐
Itakua kaachwa uyu si bure
Watu wanazaa na miaka 45...
Watu hawajui tu life begins at 30 plusMwenzangu, Sinach ameolewa akiwa na 39 yrs, kapata mtoto Wa kwanza mwaka huu Alisa na 45 yrs. Halafu kuwa single kuna ndoa kuvunjika, kufiwa nk, lakini yote yanaonekana ni matatizo ya wanawake, mfyuรบu!
Sure, life begins at thirty. Kuna Uzi alishare Lara, huo Uzi ndo uliniamsha usingizini.Watu hawajui tu life begins at 30 plus