Mzee wa Kupapasa
Member
- Aug 4, 2011
- 7
- 1
Hi guys,
Nimeona maelezo mengi mfano kwa kiwango na wengineo kuhusu kuunlock aina hii ya modem na mimi nilishawahi kufanya hili jambo.
Lakini nimefeli na sababu hasa ni pale ambapo ninapoanza kutumia huawei flasher by francis, ninapofikia kwenye "normal mode" program inaandika "not responding".
Naomba msaada juu ya hili tatizo