Salum Mwamini
Member
- Apr 12, 2020
- 27
- 9
Sawa karbu mkuu mapema ntaleta maelezo ya kufanya hlo zoeziNasubiri...
sawaSawa karbu mkuu mapema ntaleta maelezo ya kufanya hlo zoezi
Habarini wana JF. Kwa leo ningependa kuja kutoa huduma ya bure kwa wale wanaotumia modem za mtandao mmoja (SIM Locked) na wanataka kuzifanya ziwe universal.
Comment hapa ntakua online kuwasaidia InshaallahView attachment 1417216
Sent using Jamii Forums mobile app
Model gan mkuu naeza kukusaidia bila kusafiri mkuu
nisaidie yangu sema ya zamani kidogo, Model E303s-1Model gan mkuu naeza kukusaidia bila kusafiri mkuu
Ingia kwenye website ya hapo chini. Utaweza kuunlock modem yako kwa urahisi zaidinisaidie yangu sema ya zamani kidogo, Model E303s-1
Bro trick uliyoweka haifnyi kama modem inatumia customized firmware. Solution ya Ku unlock modem zenye customized firmware ni kuflash au kutumia DC unlockerIngia kwenye website ya hapo chini. Utaweza kuunlock modem yako kwa urahisi zaidi
Jinsi ya kuunlock modem ya E303s-1
Inawezekana mzee mfano ni huyu jamaa nilimsaidia kufanya hvoMkuu..Nina Airtel ZTE ...Model: MF 190..Itawezekana...Maana nimeiweka tu kabatini
Mkuu..Nina Airtel ZTE ...Model: MF 190..Itawezekana...Maana nimeiweka tu kabatini
Ulishawah kutumia mzee?
Nipe muongozo mkuuInawezekana mzee mfano ni huyu jamaa nilimsaidia kufanya hvoView attachment 1417921View attachment 1417922
Whatsapp +13303336668 tulitatue tatzo nawe utasaidia watuNipe muongozo mkuu
Ulishawah kutumia mzee?
Mim mwenyew nimehisi anataka kupiga watu hela,nmemshaur mtu hapo wa mf190 atumie dc unlocker,yeye anakuja niquote eti nishawah jarbu hyo njia ? Wakt mf 190 imeshapata solution kitambo humu jukwani.. yeye anakuvuta WhatsApp [emoji2]Usifikiri sijui kuunlock modem. Shida yako unataka upate hela. Sema kama nakuharibia dili. Nimetumia njia hiyo kuunlock modem yangu na ndiyo hii natumia kuandika comment hii. Hiyo namba ya whatsApp ya nini?
Kwan DC unlocker ni free?Mim mwenyew nimehisi anataka kupiga watu hela,nmemshaur mtu hapo wa mf190 atumie dc unlocker,yeye anakuja niquote eti nishawah jarbu hyo njia ? Wakt mf 190 imeshapata solution kitambo humu jukwani.. yeye anakuvuta WhatsApp [emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawe unatafuta viewers .Usifikiri sijui kuunlock modem. Shida yako unataka upate hela. Sema kama nakuharibia dili. Nimetumia njia hiyo kuunlock modem yangu na ndiyo hii natumia kuandika comment hii. Hiyo namba ya whatsApp ya nini?