dullynho
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 348
- 240
UNAZO NGAPI UNIUZIE? KM VP INBOXNisaidie unlocker ya huwai ya Airtel E173
UNAZO NGAPI UNIUZIE? KM VP INBOXNisaidie unlocker ya huwai ya Airtel E173
airtel model gn hzi e8231?Nina modem ya airtel I need to unlock, is that possible au no zq tigo tu?
Device name: E3372ndio toa imei na model gn?huawei te o alcatel?
Mi najiuliza hivi tulikuwa na 3g moderm sahizi 4g then baadae itakua 5,6,7,....... kwa nini hawa jamaa wasiwe wana update tu hizi moderm zao mwisho utakuta mtu ana moderm 5 na kuendelea.UNLOCK MODEM ZA 4G TIGO:Kama una modem ya 4G ya tigo (E3372h-153) ambayo hujaifanyia ANY modifications, nafanyia network unlock ili iweze tumika kwa mitandao yote!. Plus network unlock code pia nakupatia(Just incase).
NOTE: For now, Hii ni kwa walio DSM tu (mpaka nitakapo shusha Tech Guide ya jinsi ya kufanya hii kitu.).
Check me up inbox if serious, uzi unajieleza, so si tegemei maswali ya ajabu inbox.
Kwa wale ambao wako serious, check me inbox, tuone tunafanya vp. Remember kwa sasa ni kwa wale walio DSM...![]()
1. Modem ikidai Unlock code.
![]()
2. Baada ya kuweka code, ikawa ina piga mitandao yote.
![]()
3. Modem nikiwa nimeiwekea Modded(Unlocked) UI...
![]()
4. Huawei E3372h-153
Kwa sababu hzo improvements za say kutoka 3G kwenda 4G sio za software, lazma uwe na hardware zinazoweza handle hyo technology ndo maana lazima watoe mpya na sio Software updateMi najiuliza hivi tulikuwa na 3g moderm sahizi 4g then baadae itakua 5,6,7,....... kwa nini hawa jamaa wasiwe wana update tu hizi moderm zao mwisho utakuta mtu ana moderm 5 na kuendelea.
IMEI: 869907021655622Device name: E3372
IMEI: 869907021655622
IMSI : 640021032607020
My number: Unknown
Hardware version: CL2E3372HM
Software version: 22.200.09.00.787
Web UI version: 17.100.11.01.787
LAN MAC address: BA:AB:BE:34:00:00
WAN IP Address: Unknown
firmware unayo ya kuunlock?Device name: E3372
IMEI: 869907021655622
IMSI : 640021032607020
My number: Unknown
Hardware version: CL2E3372HM
Software version: 22.200.09.00.787
Web UI version: 17.100.11.01.787
LAN MAC address: BA:AB:BE:34:00:00
WAN IP Address: Unknown
firmware tu pekeyake haitoi lock kwenye e3372, nmejarbu hivyofirmware unayo ya kuunlock?
Kaka vipi ulifanikiwa kutengeneza?Nikipata muda Nitawatengenezea guide... wa e3372h
Je line ya smart itafanya kazi?UNLOCK MODEM ZA 4G TIGO:Kama una modem ya 4G ya tigo (E3372h-153) ambayo hujaifanyia ANY modifications, nafanyia network unlock ili iweze tumika kwa mitandao yote!. Plus network unlock code pia nakupatia(Just incase).
NOTE: For now, Hii ni kwa walio DSM tu (mpaka nitakapo shusha Tech Guide ya jinsi ya kufanya hii kitu.).
Check me up inbox if serious, uzi unajieleza, so si tegemei maswali ya ajabu inbox.
Kwa wale ambao wako serious, check me inbox, tuone tunafanya vp. Remember kwa sasa ni kwa wale walio DSM...![]()
1. Modem ikidai Unlock code.
![]()
2. Baada ya kuweka code, ikawa ina piga mitandao yote.
![]()
3. Modem nikiwa nimeiwekea Modded(Unlocked) UI...
![]()
4. Huawei E3372h-153
Je line ya smart 4g itafanya kazi?UNLOCK MODEM ZA 4G TIGO:Kama una modem ya 4G ya tigo (E3372h-153) ambayo hujaifanyia ANY modifications, nafanyia network unlock ili iweze tumika kwa mitandao yote!. Plus network unlock code pia nakupatia(Just incase).
NOTE: For now, Hii ni kwa walio DSM tu (mpaka nitakapo shusha Tech Guide ya jinsi ya kufanya hii kitu.).
Check me up inbox if serious, uzi unajieleza, so si tegemei maswali ya ajabu inbox.
Kwa wale ambao wako serious, check me inbox, tuone tunafanya vp. Remember kwa sasa ni kwa wale walio DSM...![]()
1. Modem ikidai Unlock code.
![]()
2. Baada ya kuweka code, ikawa ina piga mitandao yote.
![]()
3. Modem nikiwa nimeiwekea Modded(Unlocked) UI...
![]()
4. Huawei E3372h-153
ukikosa unaweza ukanicheck hapa 0712842283 kwa manunuzi ya unlock codesWickerman..check your inbox nimekutumia ujumbe. Nahitaji kununua hizo unlock codes bse nimefikia hapo kwenye kudai unlock codes.