DAVIES KILANGI
Senior Member
- Nov 25, 2018
- 174
- 119
Mzee si unablock tu basiHata mimi wana nitumia sana mpaka nimehide alert.
Naaa unblock vipi mkuuMzee si unablock tu basi
Sa mkuu nasolve vipi hili tatizosome where kwenye server za ttcl 😀😀😀
Python:salio=0 while salio==0: print("ndugu mteja hauna salio la kutosha") print("tutakutumia hizi message hadi ukome")
Vipi namna ya kutatuaHapo mkuu inaweza kuwa ni ishu ya command system iyo
Nimewapigia wakasema wanashugulikia lakini mpaka sasa toka jana yaniPiga huduma kwa wateja wazuie hizo sms
Bado hujapata solution yakeHata mimi wana nitumia sana mpaka nimehide alert.
Naomba msaada waoTTCL Customer Care hawa hapa
HahahahhaNaomba nikuulize swali mleta mada hivi ttcl ulihamia kwa utashi wako mwenyewe au ulishinikizwa na mtu aliyekuwa amekushikia bastola.kuna mtu juzi tu tumemzika kutokana na stress za kuwa na line ya ttcl
Jaman kuna mitandao ya ajabu haijawahi tokea ni zaidi ya MorrisonHahahahha
Si uachane nao mkuu lazima utumie ttclJaman kuna mitandao ya ajabu haijawahi tokea ni zaidi ya Morrison