Unlimited Internet Using Multi-SSH

Haya sasa wale wakongwe wa TunnelGuru na wale wanaotaka kujiunga na Internet bila kikomo nawaleteeni hii kitu kipya ambacho nime target zile backsides zote za TunnelGuru na kuziondoa kuhakikisha watu wana enjoy....

Kwa wale wataoikubali hii kitu nichekini Inbox ili niwaunge ni unlimited internet bila chenga,unapakua torrent bila wasi wasi
Bei yake 7,500/= per moon

Hakikisha eneo lako lina speed ya kutosha kwa hili basi letu la siku zote kabla kunitafuta nikuunge

Nitumie directly JF hapa nkupe Password ya mafile yaliyowekewa usalama

Faida zake
1.Unaweza pakua Torrent
2.Unaweza ku share internet kuja kwenye devices nyingine ukiwa unatumia VPN
3.Fast browsing and Downloading

Requirements:
1.Premiumssh Tunneling Tool

Steps

1.Ukipata Tool iset hivi kama kwenye picha kisha jaza username yako na password na kisha minya hii switch nyekundu ku Connect na hakikisha Tool unai run as admin

0oTM4i.png

Ukitaka kujua upo connected angalia katika system tray hizi icons zenye red rectangle

Ys9BJl.png

Kwa mawasiliano na usaidizi wa matatizo zaidi tuwasiline

njunwawamavoko@gmail.com

Skype: premiumssh.net

Video Tutorial

[video]https://youtu.be/SmDprQQ6W40[/video]

Contacts accepted:
1.JF Private Message(PM)
2.Email njunwawamavoko@gmail.com

I will be terminating my phone numbers and will ignore all sms or calls asking unlimited internet
Cybercrime laws are arleady at work

bro iyo njia ya kushusha mzigo wa torent inakuwa ngumu kwa upande wangu kwani kushusha kwa njia ya kawaida ya bittorent au utarent haiwezekani?
 
Umejaribu imekataa??
Inabagua P2P clients ndo maana kuna njia ya mkato ya kutumia Seedbox.
Itakugharimu uwe na Clients kama tatu mpaka uipate itakayo kubali..

Na hapo lazima ukumbuke torrents zinafanya vipi kazi na hii trick iko based wapi?
Hapa nataka kukwambia kwamba Torrent zenye UDP trackers hazitofanya labda zenye HTTP trackers

Hivo generally jifunze kutumia seedbox
 
nimejaribu inagoma
 
Haya sasa wale wakongwe wa TunnelGuru na wale wanaotaka kujiunga na Internet bila kikomo nawaleteeni hii kitu kipya ambacho nime target zile backsides zote za TunnelGuru na kuziondoa kuhakikisha watu wana enjoy....

Kwa wale wataoikubali hii kitu nichekini Inbox ili niwaunge ni unlimited internet bila chenga,unapakua torrent bila wasi wasi
Bei yake 7,500/= per moon

Hakikisha eneo lako lina speed ya kutosha kwa hili basi letu la siku zote kabla kunitafuta nikuunge

Nitumie directly JF hapa nkupe Password ya mafile yaliyowekewa usalama

Faida zake
1.Unaweza pakua Torrent
2.Unaweza ku share internet kuja kwenye devices nyingine ukiwa unatumia VPN
3.Fast browsing and Downloading

Requirements:
1.Premiumssh Tunneling Tool

Steps

1.Ukipata Tool iset hivi kama kwenye picha kisha jaza username yako na password na kisha minya hii switch nyekundu ku Connect na hakikisha Tool unai run as admin

0oTM4i.png

Ukitaka kujua upo connected angalia katika system tray hizi icons zenye red rectangle

Ys9BJl.png

Kwa mawasiliano na usaidizi wa matatizo zaidi tuwasiline

njunwawamavoko@gmail.com

Skype: premiumssh.net

Video Tutorial

[video]https://youtu.be/SmDprQQ6W40[/video]

Contacts accepted:
1.JF Private Message(PM)
2.Email njunwawamavoko@gmail.com

I will be terminating my phone numbers and will ignore all sms or calls asking unlimited internet
Cybercrime laws are arleady at work
:msela:sasahivi nakula bata. Asante sana njunwa kwa msaada wako:glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::A S check_03:

attachment.php
 
Attachments

  • internet speed.JPG
    internet speed.JPG
    93.7 KB · Views: 516
Kwa wale walioko Connected na UK2 itabidi kuni contact ili muwe connected to France server ambayo ni mpya with good perfomance
kama upo Connected na Germany in next 7days itabidi pia uwe connected na hii server mpya
Server nyingine zitabaki kama zilivo

SSH ports allowed: 22,109,143,443

select best for you

4439649043.png
 
Kwa wale walioko Connected na UK2 itabidi kuni contact ili muwe connected to France server ambayo ni mpya with good perfomance
kama upo Connected to Germany in next pia sio vema ukaijaribu hii server mpya
Server nyingine zitabaki kama zilivo

SSH ports allowed: 22,109,143,443

select best for you

4439649043.png

Sijakuelewa mkuu
 
Kwa wale wanaoitaji kutumia OpenVPN na ku share WiFi kwenye simu zao kwa hii internet
waweza sikiliza hii video...

OpenVPN Config files nimezi attach kwa chini hapa

Attachments

  • config files.zip
    2.8 KB · Views: 76
Last edited by a moderator:
mkuu am very interested n hiyo..... vipi kwa tunaotumia android na ios ..?? i knw its very complicted km ulivyosema hapo juu..... lakini tusaidie ili na sisi tuchangie hiyoo 7500/=
 
Kwa sasa natoa huduma kwa Windows OS
May be sometimes later Android inaitaji mda mwingi kuifanikisha hiyo android ila nimetingwa na mambo mengine...

Kwa iOS au MAC Big NEVER
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom