binafsi bado sijafanikiwa kabisa , nimejitahidi sana inaconect lkn sipati net kabisa. labda kuna sehemu nakosea

Ulituma PM nkakujibu kaka
utaratibu gani mwingine unataka?
mkuu hujatoa link ya kupata hiyo tool...so tunafanyaje hapo!?
Its all about Phreaking kaka so no answer to your questionmkuu hii kitu itakuwepo kwa mda mrefu?
Mkuu,
Nikitaka kuunganisha na devices zangu nyingine kwenye huduma yetu hii nitumie hotspots gani?
Mkuu njunwa habari ya kwako? Naomba kujuzwa zaidi juu ya hili ili ikiwezekana nijoin leo. PM pls