University Task Force - Wasomi wanaomuunga mkono Dr. Magufuli

University Task Force - Wasomi wanaomuunga mkono Dr. Magufuli

watu wengine wanakela sio siri... kesho kutwa msipopata mikopo mtakuja kulia humu, hizo elfu kumi kumi kwa siku zinausha kesho kutwa... miaka mitano mnapauka mtaani
 
Wasomi watanzania hawana tofaut na wazee wa ccm

Ila mwaka huu tumewashika pabaya
 
tangu nyerere afe tanzania haina tena wasomi ina watu wanaokariri ndio maana hata nchi haina maendeleo wao wanafikiria kuiba tu alafu wanajiita wasomi sheeet
 
mnajizarau sana ndio maana hata mkitoa tamko mnaonekana kama kasuku tu tofauti na kipindi cha nyerere wanafunzi wakitoa tamko linatikisa nchi na mwalimu anaenda kuwasikiliza sasa ivi ni bure kabisa mnaonekana kama mafisadi wa kesho.
 
Tulishakataza siasa vyuoni. Wachague kufundisha au kujiunga na siasa!!! Huo ni upuuzi Profesa Baregu aliondolewa kisa alijiunga na CHADEMA. leo mnakuja na upuuzi wenu wa UTF hapa!

Jaribuni kuwa na akili na nitashangaa sana kuona watu wenye akili timamu wanajiunga na huo upuuzi
 
Tuko nasi popote mtakapotuhitaji majeshi ya Magufuri yako tayari ..Hapa kazi tu mbwembwe mpe Lowassa
 
Back
Top Bottom