University students na wapenzi wa matumizi

All you need to know here ni kwamba girls ni wapumbavu, wenye tamaa nyingi na si watu hata kidogo. Mie jana tu nimetoka kumlipia duu Cafeteria buku 3 kwa kicngzio et angenipa baadaye. Mimi nilimuazma kama best yng, bt kilichokuja kunitibua zaid, the same girl eti naye akamnunulia chakula kidume kingine. Ohooooo, 2lifikishana kwa Warden, alitoa. Haya mambo kwel yapo na hapa UDOM ndo kuziiidi.

Hahahaha......hii ni noma, thus y kila siku wanaume wanazidi kuwa rude.
 
Eti wanafunzi wa vyuo vikuu wana wapenzi wa aina mbili:
1. KISERENGETI BOY- WA KUTOKA NAYE
2. JIBABA- WA MATUMIZI NA KUTUMIA HELA YA JIBABA KUMLISHA KISERENGETI BOY

Jibaba Ukijua hilo utafanyaje utamuacha au..................au serengeti boy ukijua utafanya nini kuwa mpenzi wako ana Jibaba

kwani hela ni jibaba tu ndo anazo???
Kijana wa miaka 28 akiwa na hela akikupa za matumizi ni jibaba??
Mi naona mijibaba yenyewe yanashobokea chuchu saa 6 na hawana swaga zaidi ya kumwaga hela sasa na njaa ya bongo mwsanafunzi hachomoi
na kumuacha kijiboy chake ngumu nani atamfanyia assignment,nani aatampetipeti?nani atampa maneno matamu na mapenzi motomoto plus goli 7 kitandani??ni kijiboy kule kwa mheshimiwa ni hela tu
nawasilisha
 
Mapenzi hapa Chuo ni pasua kichwaa; labda muwe darasa/course tofauti; kidogo kidume utapumua

>Ukienda na demu cafeteria kidume unalipia msosi[kumbuka ukizidisha 7,500/day, na huna kipato kingine, inakula kwako: mwezi dumee

>madesa: bebii nichukulie basi copy ya Land Act then ntakulipaaa[akulipe wapi; kwanza hautamuuliza]....mhm. Kidume uaibike!

dah kumbe we dent??
Ndo maana ukajiita handsome
nawasilisha
 
Mkuu unanikumbusha machungu niliyopata majuzi, baada ya kumtumia bebii laki sita, kwa ajili ya kununulia radio(kama alivyoomba mwenyewe) kwa ajili ya rum hostel univasti moja dodoma, nilijibiwa na serengeti boy (nilikua sifahamu kama anaye)kua anashukuru sana kwa kuifanya rum yao kua live, huyo serengeti boy akaniomba na hela kwa ajili ya kwenda mnadani kula nyama, niliumia sana, bebii sasa nikimpigia simu hapokei!
 
kwani hela ni jibaba tu ndo anazo???
Kijana wa miaka 28 akiwa na hela akikupa za matumizi ni jibaba??
Mi naona mijibaba yenyewe yanashobokea chuchu saa 6 na hawana swaga zaidi ya kumwaga hela sasa na njaa ya bongo mwsanafunzi hachomoi
na kumuacha kijiboy chake ngumu nani atamfanyia assignment,nani aatampetipeti?nani atampa maneno matamu na mapenzi motomoto plus goli 7 kitandani??ni kijiboy kule kwa mheshimiwa ni hela tu
nawasilisha

Amu, saa sita iko wapi mbona wote na mimama ya miaka 50 and above yote ni socks!
Goli saba zitoke wapi na stress ya masomo.
Nawasilisha
 
Ha ha ha umenifurahisha sana
wanafunzi wakipanda hawashuki
nawasilisha
 
Mkuu unanikumbusha machungu niliyopata majuzi, baada ya kumtumia bebii laki sita, kwa ajili ya kununulia radio(kama alivyoomba mwenyewe) kwa ajili ya rum hostel univasti moja dodoma, nilijibiwa na serengeti boy (nilikua sifahamu kama anaye)kua anashukuru sana kwa kuifanya rum yao kua live, huyo serengeti boy akaniomba na hela kwa ajili ya kwenda mnadani kula nyama, niliumia sana, bebii sasa nikimpigia simu hapokei!

yaani mda wote huo ulikua hujagundua kwamba hiyo ndio style ya unidendadaz! pole sana, wewe usikate tamaa
endelea kukamua tu ila matumizi inabidi upunguze kwani huko hakuna future!
 
All you need to know here ni kwamba girls ni wapumbavu, wenye tamaa nyingi na si watu hata kidogo. Mie jana tu nimetoka kumlipia duu Cafeteria buku 3 kwa kicngzio et angenipa baadaye. Mimi nilimuazma kama best yng, bt kilichokuja kunitibua zaid, the same girl eti naye akamnunulia chakula kidume kingine. Ohooooo, 2lifikishana kwa Warden, alitoa. Haya mambo kwel yapo na hapa UDOM ndo kuziiidi.

duh kijana hapo sawa!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom