University offer vodacom

University offer vodacom

Dlight

Member
Joined
Jan 20, 2019
Posts
21
Reaction score
10
Habari wakuu...
Hivi hivi vifurushi ni ktk menu yangu tu au hata kwa wengine, maana huu sio msaada sasa kwa wanachuo inamana kwa wiki kifurushi cha chuo ni 3000/=?

kiukweli nitashindwa kula ugali hapa mabibo hostel.
 
mliambia hapa kazi tyu ila pili ugali muhimu kuliko net
 
Back
Top Bottom