P Accountant
JF-Expert Member
- Sep 26, 2020
- 369
- 169
Nisikilize Mkuu, kwa muonekano wa screenshot yako inaonyesha ume request code upya. Hivyo ingia katika email yako utapata hiyo code. Tatzo kama hili lilimtokea mtu fulani na nilimsaidia akafanikiwaHakuna hiyo option
Hiyo option haipo tena
Tatizo kwenye email yangu hawajutuma hadi nowNisikilize Mkuu, kwa muonekano wa screenshot yako inaonyesha ume request code upya. Hivyo ingia katika email yako utapata hiyo code. Tatzo kama hili lilimtokea mtu fulani na nilimsaidia akafanikiwa
Umejarbu kuingia kwenye email, sio admission accountTatizo kwenye email yangu hawajutuma hadi now
Ndio nimeingia sasa hivi nimeenda tena lakin hakuna kituUmejarbu kuingia kwenye email, sio admission account
Hapana, tusubili Jumamosi mkuu kwa second batchMkuu umepata mkopo
Mungu atusimamie kwa kweliHapana, tusubili Jumamosi mkuu kwa second batch
Amen sana mkuu, naimani tutapata zaidi. Ni suala la muda na kumuomba Mungu zaidiMungu atusimamie kwa kweli
Nimeweka hapo juu mkuu sema ni jipya kabisaweka link ya group tujue shida zenu.
Angalia time table kwenye join instructionsSamahani, hv kesho unatakiwa ufike saa ngap na maeneo gani kwa ajiri ya orientation na registration?
UDSM hostels ni changamoto, Kipindi kile zipo Mabibo na Main Campus tu, Walikuwa wanapata First year to na Bado baadhi walikosa wakaongeza Magufuli hostels nikajua somehow Litasolves ajabu na Admission Capacity imeongezeka Plus programmes mpya zimeanzisha na baadhi zilizohamia ardhi na wao wakaanza mfano Architecture!!Does it mean hostel zimeiaa?View attachment 1637825