Askari wa motoni
Member
- Aug 15, 2018
- 49
- 28
Asante mkuu, kesho nitaenda kusainNadhani this week
Fresh Aris ishasoma sioAsante mkuu, kesho nitaenda kusain
Fresh A
Bado mkuu mana nikiingia wanasema result withheld nahisi kwakua sijasain adaFresh Aris ishasoma sio
Poa mkuu kesho lazima nitimbe chuo..Anhaa basi sawa, Kasaini usije kudisco kizembe
Fresh kila la kheriPoa mkuu kesho lazima nitimbe chuo..
Mbona hipo weweChuo hakitoa hta Bachelor Degree in Science Physics, Radiation, Aviation wala Aircraft Operations
[HASHTAG]#ChuoNiOvyoKabisa[/HASHTAG]
WrongHiki chuo ni wezi sana!!!
Wamewafanyia ujambazi wanafunzi wa postgraduate.
Yaani wakati wanaanza chuo ada ilikua kiasi fulani (tuseme milioni 3)... karibia watu wnafika mwishoni eti wanasema walikosea ada na wameongeza zaidi ya milioni moja...
Sasa pigia picha mtu kashapumua kua kamaliza kulipa milioni tatu zake alafu leo umwambie eri bado anadaiwa... Na kirahisi kabisa wanasema walikosea!!!
CoAF=College of Agriculture science and Fisheries TechnologyHaya sasa tukutane hapa wote ambao tunasoma, tumewahi soma chuo kikuu cha Dar es salaam tufanye ku share uzoefu wetu tukiwa pale na baada ya kutoka pale,
UDSoL-UDSM School of Law
CoET-College of Engeneering and Technology
CONAS+College of Natural and Applied science
SOED-UDSM School of Education
COSS-College of Social Science
COHU-College of Humanities
CoICT-College of Infonmation And Comminication Technology
SJMC-School of Jounalism and Mass Communication
SOH-UDSM School Of Health
UDBS-UDSM Business School
CoAF-College of Agriculture And Fisheries
IDS-Instute of Development Studies
IKS-Institute Of Kiswahili Studies
karibuni......sana
Iko mbeya
Papo Sana mkuuNmepita hapo miaka ya 2006, ni sehemu pekee ambapo unaweza ukiwa sio mtu ukatoka ukiwa mtu, kambi la jkt, msuli wake usiseme! Napakumbuka sana 24hrs sijui kama bado papo, kule mabawani ndo nilikuwa guest house za masela...hahaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo kwenye list ya Unverified?hivi usipolipa ada kabla ya end of semester kwa matatizo chuo kina angalia au kinakupa uwezekano wa kulipa after. naongelea waliokwama kulipa ada hadi sasa
nina mtu ambaye yupo kwenye tatizo hilo na ningependa kujua.Upo kwenye list ya Unverified?
Graduation...BA (Kiswahili)?wakuu unaweza kupata final academic transcript kwa sasa kwale waliomaliza masomo mwaka huu(2018).
matokeo tayari,na ukiwa umeshafanya clearence but graduation bado hadi november 17th 2018
BSc in metGraduation...BA (Kiswahili)?