University of Dar es Salaam (UDSM) special Thread

Hiki chuo ni wezi sana!!!
Wamewafanyia ujambazi wanafunzi wa postgraduate.
Yaani wakati wanaanza chuo ada ilikua kiasi fulani (tuseme milioni 3)... karibia watu wnafika mwishoni eti wanasema walikosea ada na wameongeza zaidi ya milioni moja...
Sasa pigia picha mtu kashapumua kua kamaliza kulipa milioni tatu zake alafu leo umwambie eri bado anadaiwa... Na kirahisi kabisa wanasema walikosea!!!
Wrong
 
Haya sasa tukutane hapa wote ambao tunasoma, tumewahi soma chuo kikuu cha Dar es salaam tufanye ku share uzoefu wetu tukiwa pale na baada ya kutoka pale,
UDSoL-UDSM School of Law

CoET-College of Engeneering and Technology

CONAS+College of Natural and Applied science

SOED-UDSM School of Education

COSS-College of Social Science

COHU-College of Humanities

CoICT-College of Infonmation And Comminication Technology

SJMC-School of Jounalism and Mass Communication

SOH-UDSM School Of Health

UDBS-UDSM Business School

CoAF-College of Agriculture And Fisheries

IDS-Instute of Development Studies

IKS-Institute Of Kiswahili Studies


karibuni......sana
CoAF=College of Agriculture science and Fisheries Technology
‪+255 762 683 306‬ 20180815_125352.jpg
 
hivi usipolipa ada kabla ya end of semester kwa matatizo chuo kina angalia au kinakupa uwezekano wa kulipa after. naongelea waliokwama kulipa ada hadi sasa
 
wakuu unaweza kupata final academic transcript kwa sasa kwale waliomaliza masomo mwaka huu(2018).
matokeo tayari,na ukiwa umeshafanya clearence but graduation bado hadi november 17th 2018
 
Back
Top Bottom