University of bagamoyo interview

Mshiiri

JF-Expert Member
Jun 16, 2008
2,012
505
Huku nadhani bado kimya ningependa kufanya nao katika IT hata consulte inatosha
 

Kijuche

JF-Expert Member
Aug 26, 2010
418
35
Title na mjadala havieleweki, toa hoja unayotaka kuongelea

Nadhani alikuwa anauliza wanafamilia kama wanataarifa yoyote inayohusu kuitwa watu walioomba kazi chuo kikuu cha Bagamoyo kwa ajili ya interview.
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom