University admission results updates (Matokeo ya udahili vyuoni)

Ni hivi. Nimemaliza diploma ya law, nilipoomba nikaweka bba yatatu na ndio nimepata udsm pekee. Swali ni kwamba naweza nikaomba mzumbe au udom llb?
 
Ona mfumo huu ulivyoshindwa, nafasi zaidi ya 4000 wamechaguliwa zaidi ya chuo kimoja. Maana yake hawa wamezuia zaidi ya nafasi za waombaji 4000
Wengi hawalioni hili na matokeo yake ni kupandisha cut off point na kumwaga vijana wenye ufaulu mzuri. TCU wasipofanya tathmini ya zoezi la mwaka huu tutaendelea hivi hivi na vijana kukosa nafasi. Kwa sasa karibu 33000 wametemwa. TCU ituambie jumla ni wangapi wana multiple selections na wengine ni zaidi ya mbili.
 
wakuu mwenye majina ya mzumbe naomba aniangalizie nashon m mwangwale
 
MKUU naomba unisaidie pdf ya wale without multiple admission
 
Msaada wakuu nmepata Div. Two pts 11 PCB nna ECC respectively.. First round vyuo vyote nlivyoomba wamenikataa..Ushauri tafadhali wa course na chuo cha ku apply for this second round application.
 
Ambao awajapa chuo mpka mpk sasa na waliomba watarubia batch nyingine au ndo wamekosa total kwa mfano mtu aliomba vyuo vitatu udm udom na mzu then kweny haya majina ayapo
 
Hellow udom wale wa second round washaruhusiwa mbona mm nashindwa hata kuedit msaada please
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…