f de solver
JF-Expert Member
- Feb 12, 2017
- 2,339
- 1,834
Kuanzia page 99 haifungukHaya hapa ambayo sio ya multiple.
Kuna namb za cm zimetolew kwa ajil ya confirmation.. Inatakiw achukue namb mojawap ktk tangazo atume ujumbe mfupi ukiw na jina kamili, F 4 index no, na degree program aliochaguliwKuconfirm unafanyaje
Hizo namba za confirmation zipo wapi???????Kuna namb za cm zimetolew kwa ajil ya confirmation.. Inatakiw achukue namb mojawap ktk tangazo atume ujumbe mfupi ukiw na jina kamili, F 4 index no, na degree program aliochaguliw
Jamani mwenye selection za mzumbe na udsm msaada pleaseKwa wale mlikuw mkisubiri majina ya selection chuo kuu dodoma yametoka.. Fanya kupitia hpa uangalie kama yamekaa saw au laah..hzo doc mbil kuna moja kwa wale wenye single selection na ya pili kwa wale weny multiple selection wanaoitajika ku confirm kama wataenda chuoni (UDOM)
yapo ma 3 tofauti chek vzrMkuu mbna file lote n moja
Hizo namba za confirmation zipo wapi???????
Mzumbe wenye multiple selection haoJamani mwenye selection za mzumbe na udsm msaada please
Piga mechanical kama hutaki show offMsaada jaman: Nimechaguliwa Mechanical Engineering UDSM na Telecommunication Engineering-UDOM nichukue ipi kulingana na soko la hizo koz mbili?
DIT mkuuChuo gani mpaka sasa hujaona USAIDIWE??????????
ahsante kwa ushauri wako mkuu!!Piga mechanical kama hutaki show off
DIT bado hawajatoaDIT mkuu
Nadhani. Maana hata mimi nimechagualiwa chuo kimoja tuu sioni option ya kuconfirm. Ila nimeandikiwa tcu aproval.oy wakuu hv ukichaguliwa chuo kimoja hakuna need ya kukonfirm?
weka muhasChuo gani mpaka sasa hujaona USAIDIWE??????????
sawa sawa mkuuDIT bado hawajatoa