University admission results updates (Matokeo ya udahili vyuoni)

Acha Kuwa Akili Ndogo
Huu Uzi Ni Kwa Wote Certificate, Diploma, Degree, Masters Etc.
Najua Akili Yako Iliwaza Ni Majina
Ya First Year.
Hahah nao wa certificate na diploma,wanasubir majibu ya university? Afu na hao watu ambao,sio undergraduate.wametumia mfumo sawa na graduates?
 
Mkuu siyo graduate, ni Undergraduate!!!! Graduate ni yule ambaye ameshamaliza university, yaani ame-graduate.
mi nimeelewa nikuwa namuuliza jamaa angu swali hapo anijibu,maana yeye ndo alishindwa kutofautisha hivo vitu viwili.
 
Back
Top Bottom