Homeboy255
JF-Expert Member
- Apr 14, 2018
- 203
- 81
Jamani aliyetumiwa admission letter udsm second selection aje hapa
Jamani aliyetumiwa admission letter udsm second selection aje hapa
Kesho mkuu...Hamna alietumiwa UDSM admission letter .. first na second Selection hamna mwenye admission letter hadi sasa . Ni kusubiri na naskia wanatoa kule kule chuo
Kesho mkuu... View attachment 1620150
BA-SONi kozi zipi zinatolewa kwenye hii college..?
Webadili mkuu Ni Nov 21 Alafu UDSM wametoa Admission letter Leo lakin ukidownload Admission letter inagoma sijui shida Nini Kuna jamang naye kanambia hivyo hivyo Sasa sijui Nani kafanikiwa kudownload Admission letter mpaka saa hiiKesho mkuu... View attachment 1620150
Kwangu zimekubali mkuuWebadili mkuu Ni Nov 21 Alafu UDSM wametoa Admission letter Leo lakin ukidownload Admission letter inagoma sijui shida Nini Kuna jamang naye kanambia hivyo hivyo Sasa sijui Nani kafanikiwa kudownload Admission letter mpaka saa hiiView attachment 1621731
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwangu zimekubali mkuu
Mh kaka files ziko nneKuna pages ngapi?
Thanks man nimedownload Tena Asubuhi hii imekubaliKwangu zimekubali mkuuView attachment 1621737
Bado taarifa hakunaWakuu mambo yako tayari
FUNGUA ACCOUNT YAKO
Kwenye nn mkuu unanitisha...Wakuu mambo yako tayari
FUNGUA ACCOUNT YAKO
Huyo nae muongo kweliKwenye nn mkuu unanitisha...
Huyo nae muongo kweli
Kwenye nn mkuu unanitisha...
[emoji23][emoji23][emoji23] Wakuu nawarusha Roho tusubiri keshoBado taarifa hakuna
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimeweka dawa za kupunguza presha pembeni mkuu utakuja kupata murder case[emoji23][emoji23][emoji23] Wakuu nawarusha Roho tusubiri kesho