University Admission Results 2020

Hivi SUA kama hujawekewa ujumbe wowote kuchaguliwa au lah inamaana umekosa...?
Maana profile yangu inanitaka nisubiri hadi mda huu
 
Wakuu me niliomba vyuo kama vinne hivi
Nimeingia kwenye account zangu majibu Ni kama ifuatavyo

[emoji117]Udsm nimekosa

[emoji117]Sua Bado hawajatoa taarifa yoyote

[emoji117]CAWLM MWEKA Bado hawajatoa taarifa yoyote

[emoji117]MUCobs nimechaguliwa
Chakushangaza Ni kwamba kwenye status wameandika Nina multiple selection ila katika vyuo nilivyoangalia majib yakuwa selected nimepata yapo kwenye chuo kimoja2
Wakuu naomba msaada wenu wa kimawazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…