University Admission Results 2020

Hadi muda huu kimya MZUMBE UDSM UDOM IFM
TCU ilitoa tamko majibu ya second round kwa vyuo vyote yatolewe kesho. Natumaini kesho asubuhi mkiingia kwenye account zenu mtapata majibu.

Poleni kwa kusubiri!
 
TCU ilitoa tamko majibu ya second round kwa vyuo vyote yatolewe kesho. Natumaini kesho asubuhi mkiingia kwenye account zenu mtapata majibu.

Poleni kwa kusubiri!
Walisema tarehe 29 yatatangazwa!

Kesho tarehe 30.

Mifumo mibovu mpaka kero.
 
Udsm, Mzumbe tayari.

Naambiwa nina multiple selection, hivyo vyuo vingine ( udom & tudarco) matokeo bhado

Sasa kivipi nina multiple selection?
 
Nimechaguliwa udsm,mzumbe na iringa. Thanks allah[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Wakuu nimechaguliwa chuo kimoja ila nimeambiwa Nina multiple admission hiyo imekaaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…