University Admission Results 2020

Hapo hakuna shida mkuu tusubiri hatua nyengine
Ety mkuu, kwa sisi ambao tumetumiwa taarifa kuwa tuko fresh kwenye maombi ya mikopo si hatutakiwi kufanya/kubadili chochote hapo kuna taarifa nahisi sikumalizia kutokana na kuwahi mda..
 
Kwamfano let's say umechaguliwa Kozi chuo cha private maybe Ada ni 4 m na kiwango cha serikali kutoa mkopo kwa hiyo Kozi ni 3M huwezi pata kabsa mkopo?
Wanakulipia kile kiwango kinachoendana na vyuo vya serikali
 
Inamaana hayo matokeo huko NIT wanatoa nusu nusu ama maana kuna dogo apa bado
 
UDSM na UDOM ndio vyuo vinavyopokea maombi mengi sana hapa Tanzania, wao bado wapo kwenye uchambuzi.
Mimi niliomba sua sasa nikifungua account wanasema ni continue na application by clicking next button afu ata iyo next msaada plz button haionnekani
 
Mimi niliomba sua sasa nikifungua account wanasema ni continue na application by clicking next button afu ata iyo next msaada plz button haionnekani
Mwanzon ulifanikiwa ku submit application yako?
 
Kama Kuna mtu aliomba udsm atume screenshot ya kwnye my application pale, maana Kuna mtu kanambia ukikuta kwnye my application unaambiwa ureapply ujue ndo umekosa hata km selection bado, sasa sijui Ni kwel

Kuna watu wameandikiwa wa reapply kwani .. ?
 
wa UDOM pia checkini muda huuu mambo ni bambam
 
UDSM MAMBO NJEE NJEE INGIENI KWENYE ACCOUNT ZENU JAMANI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…