University Admission Results 2020

Dogo alipata awamu ya kwanza.. Nimeingia leo kwenye akaunt yake wamemuandikia hivyo.. Hayo maandishi mekundu hapo...Na wengine pia mliopata Udom Kuna hayo maandishi mekundu?
 
Ni kwel kabsa hana multiple Maana kama angekuwa na multiple wangemwambia kabsaa

Nasema hivyo kwasabab;
TCU ndio huwa wanathibitisha kwamba huyu mwanafunzi amechaguliwa Zaid ya chuo kimoja , inawezekana matokeo yametoka TCU na wao wamejidhihirisha kwamba amechaguliwa chuo hicho2
 
Ngoja tuone tomorrow mkuu[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
yaap!!!
nazani kesho ndugu yangu vampire123 atajioneaaa

lakini nipende kumpa moyo, huenda system ya round 2 ipo kivingine
kwaiyo kesho ndo itahukumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora kusubiria Matokeo ya mtihani maana unajua kitu ulichojibu kwenye mtihani kama ulijibu utumbo unajua kabisa lakini sio kusubiria selection za chuo loh!...nilikesha nasali wiki nzima...ilibaki kidogo nipungue kilo...Mungu akajibu 1 round ile ile.
 
Wegine tulisha anda mabengi tayar kwanjili ya Safar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…