University Admission Results 2020

hapa nilipo mavi yananibana kila nikiwaza matokeo ya chuo dilisha la pili
 
Wakuu mimi nimeaply diploma nimepata vyuo viwili sasa netumiwa code na nacte nikaingia website yao nakuta nimethibitishwa vyuo viwili vyote.. Je nawezaje ku confirm kimoja [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
 
mkuu mara ya kwanza niliomba vyuo 7 nikakosa vyote, sasaivi nimeongeza 2 jumla 9 nina mawazo hatari
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]vyuo saba ukakosa,duh kozi gani hiyo unaomba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…