francois voltaire
Member
- Aug 20, 2020
- 57
- 145
Unataka taarifa gani Zaid ya hiyo?Naomba kuuliza
Ivi chuo cha mwalim nyerere hawatoi taarifa yoyote ukimaliza kusubmit
Mana mimi nimesubmit without any info au bdo cjakamilisha submitionView attachment 1600795
mbna inajieleza kabisa mkuu,Naomba kuuliza
Ivi chuo cha mwalim nyerere hawatoi taarifa yoyote ukimaliza kusubmit
Mana mimi nimesubmit without any info au bdo cjakamilisha submitionView attachment 1600795
ina maana hata kozi hujachagua?Naomba kuuliza
Ivi chuo cha mwalim nyerere hawatoi taarifa yoyote ukimaliza kusubmit
Mana mimi nimesubmit without any info au bdo cjakamilisha submitionView attachment 1600795
Kozi nimechagua bt sijaona utaratibu kama wa vyuo vingine kutma mesej za kawaida na kwenye email ndomana nimeulizaina maana hata kozi hujachagua?
hivi Kuna alifanikiwa ku download Admission documents , maana page ya MUHAS majanga link haifai. na Ukiwapigia technical support hawapokei, hawapatikani, wanatumika.
yeaah, man.Asee umepata MUHAS? Biomedical engineering??
yeaah, man.
upo MUST chief?Aya bana Hongera..karibu mbeya upambane na barid
upo MUST chief?
koz ganiYah mzee..
koz gani
mechatronics ungepig hyo, ungeenjoy sana.Mechanical
kaa kwa kutulia na kusubiria majibu.Kozi nimechagua bt sijaona utaratibu kama wa vyuo vingine kutma mesej za kawaida na kwenye email ndomana nimeuliza
Mechatronics hmna Beng bongo.. Pia siitaji only Mechanical..mechatronics ungepig hyo, ungeenjoy sana.
nilisikia MUST wameanz kutoa.Mechatronics hmna Beng bongo.. Pia siitaji only Mechanical..
nilisikia MUST wameanz kutoa.
Biomedical naipenda ndo kozi pekee niliomba.Hapana.. Wewe jiandae na biomedical ni nzur pia utapapenda MUST ukija
one day yes, chiefHapana.. Wewe jiandae na biomedical ni nzur pia utapapenda MUST ukija