University Admission Results 2020

mwenye kujua, je second round kwa sisi tuliiomba chuo kwenye 1st round tukakosa inatakiwa tulipe tena au tutatumia account zetu izi izi kuomba upya, msaada wenu tafadhali??
 
Tunatumia account hizo hizo
 
bonyeza request code jaza namba za simu na email yako then tuma alf utatumiwa code kwenye sms ya kawaida halafu utaijaza hapo then bonyeza confirm.
Mkuu inamana pale walipoandika request confirmation code ambapo ukibonyeza ndo unaambiwa uweke mobile number, ndio hapo unapojaza number za cm pamoja na email kwa pamoja?
 
Hv ulichaguliwa chuo kimoja(single admission)nawewe unatakiwa ucomfirm au kufanya kitu chochote kuonyesha utajiunga na chuo husika?? Na he naweza kuomba vyuo vingine duru la 2
Kama umechaguliwa chuo kimoja hamna haja ya kuconfirm.subr usajili tum kuhusu kuaply chuo kingine ni ngumu..maana tayari upo admitted kwenye system na TCU kwamba ww ni mwanachuo wa chuo fulani...labda uwahi hicho chuo ulichochaguliwa waku cancel...hii ni ngumu pia..labda kama umeconfirm chuo usichokitaka na kuna chuo kingne umechaguliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…