University Admission Results 2020

Baadhi ya watu Dashboard zao hazijabadilika status haipo hii ina maana gani ?
Itakuwa tatizo la kimtandao tu. Selection hutangazwa kwa pamoja kwa chuo, haiwezekani chuo kimoja wengine wapate new information halafu wengine iwe hamna kitu..

Ondoa hofu kabisa, subili chuo husika kitangaze kupitia website yake.
 
Sorry na Kama umechangua chuo kimoja na ndo ulicho omba Kuna aja ya kucofirm
Aliyechaguliwa chuo kimoja huyo anakuwa kadahiliwa moja kwa moja chuoni.

Tusubili tuone mwaka huu TCU watasemaje.
 
Kuna jamaa nae dashboard yake hamna ujumbe wowote ..

Kuna mtu ile mara ya kwanza aliambiwa hajachaguliwa ila sasa amechaguliwa?
Hii shida ipo MUHAS na CUHAS kuna watu wanaona status zao na wengine hawaoni Dashboard ziko kimya zinaubaguzi
 
Wakuu hivi ukichaguliwa chuo zaidi ya kimoja usipo confirm maana yake ndo huendi hiko chuo au unafanyaje kwenda chuo unachotaka katika hizo options ulizopata
 
Wakuu hivi ukichaguliwa chuo zaidi ya kimoja usipo confirm maana yake ndo huendi hiko chuo au unafanyaje kwenda chuo unachotaka katika hizo options ulizopataView attachment 1593782

Ina maana hii Chuo ambacho uta confirm ndio hicho utaenda ..

Kama umechaguliwa multiple ..ambacho ume comfirm ndio utaenda huko na ambavyo huja comfirm ina maana hutaenda ..

Hata kwenye mambo ya loan ..mkopo unapelekwa kwenye chuo ulicho comfirm
 
Kwahyo kesho ndio huhakika vyuo vyote vitatangaza selection..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…