Ndo maana anamwambia asubiri mbona watu mnapenda kufanya maisha yawe magumu.. Unapenda kumvunja moyo mwenzio.. Sio fine
Yaaaah, ila wapo waliopata Muhas kutokea dip.. Kama wapo watuwekee hapa performance zao zote za olevel na dip tufahamu Muhas walidiri VP kwenye hiz selectionAisee naona ushindani ulikuwa mkubwa au tokeo la Form four lilichangia
kuna jirani yangu jana usiku kanywa sumu kakosa muhasSawa kijana, kikubwa tupeane mioyo tu japo mambo ni magumu kiukweli tusije tukapotezana wengine hawakawi kujinyonga humu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kuna jirani yangu jana usiku kanywa sumu kakosa muhas
Daah hv vitu vina hatari kiukweli hvyo tupunguze lugha ngumuwamemuwaisha hospital
Yaaaah, ila wapo waliopata Muhas kutokea dip.. Kama wapo watuwekee hapa performance zao zote za olevel na dip tufahamu Muhas walidiri VP kwenye hiz selection
mim Olevel nilikuwa na Div One, Dip nilikuwa na gpa 4.3 , naambiwa hapa nimeliwa kichwa??.Yaaaah, ila wapo waliopata Muhas kutokea dip.. Kama wapo watuwekee hapa performance zao zote za olevel na dip tufahamu Muhas walidiri VP kwenye hiz selection
hahah huyo nanga wa kimataifaaakuna jirani yangu jana usiku kanywa sumu kakosa muhas
Duuh pole sanamim Olevel nilikuwa na Div One, Dip nilikuwa na gpa 4.3 , naambiwa hapa nimeliwa kichwa??.
harafu Hata mkopo sijawaombaView attachment 1590951
Wao hawajui kama mkopo uliomba au lah..mim Olevel nilikuwa na Div One, Dip nilikuwa na gpa 4.3 , naambiwa hapa nimeliwa kichwa??.
harafu Hata mkopo sijawaombaView attachment 1590951
mim Olevel nilikuwa na Div One, Dip nilikuwa na gpa 4.3 , naambiwa hapa nimeliwa kichwa??.
harafu Hata mkopo sijawaombaView attachment 1590951
mim Olevel nilikuwa na Div One, Dip nilikuwa na gpa 4.3 , naambiwa hapa nimeliwa kichwa??.
harafu Hata mkopo sijawaombaView attachment 1590951
kupata nafasi ni kazi ngumu, kusoma ni kazi nyepesi sanaKila la kheri vijana.. wa afya kupata nafasi ni jambo moja... Shule mtakayoikuta huku "University" ni jambo lingine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Bora ww mm niliprint T-shirt kabsa nimejiandika Dr jiwe kuu ila ninayoyaona yanakatisha tamaaMimi nilishawaambia mtaani kwangu kuwa naenda kusoma udaktari mwaka huu mpaka sasaivi sijachaguliwa sijui itakuwaje hii aibu jamani
Yani nikipita mtaani wananita Doctor habari yako[emoji23]Mimi nilishawaambia mtaani kwangu kuwa naenda kusoma udaktari mwaka huu mpaka sasaivi sijachaguliwa sijui itakuwaje hii aibu jamani
Muwe mnaomba ushauri kwa kaka na dada zenu waliopo vyuoni wakati wa kuomba nafasi!Mimi nilishawaambia mtaani kwangu kuwa naenda kusoma udaktari mwaka huu mpaka sasaivi sijachaguliwa sijui itakuwaje hii aibu jamani