Universities zenye sifa stahili

Universities zenye sifa stahili

Rutakyamilwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2009
Posts
1,871
Reaction score
1,241
Ukifanywa uhakiki na tume huru ikijumuisha na wataalamu say toka nje, ni vyuo vidivyozidi kumi vitasimama.
1.UDSM
2. MUHAS
3. SUA
4. MZUMBE
5. ARDHI
6. OPEN
7. KCMC
8. CUHAS
9. KAIRUKI ?????
10. ????????

I regret for those might feel offended. Masahihisho yanakaribishwa
 
Ni hivyo tu Mkuu vingine zaidi ya hapo ni mazingaombwe havistahili kuwepo.
 
Ile hadhi ya chuo kikuu inarudi kwa kasi ya kimbunga...!

Magufuli, Magufuli, Magufuli!
 
Watanzania ni watu wa mihemko tu but no visions no mission. Tutaendelea kuwa na wasomi wa maneno tu na vyeti vitendo hola na kusifia vyuo tukiwa tunaburuzwa na mataifa yenye "wasomi kazi" sio maneno na vyeti
 
unaweza ukawa na uwezo wa makaratasi ila sio wa utendaji.

Tunahitaji uwezo binafsi wa kiutendaji na sio wa maandishi tu.

Ndio maana wengi hawawezi kushindana na soko la kimataifa hata kama wanabebwa na ukubwa wa chuo plus performance za chuo husika
 
Ukifanywa uhakiki na tume huru ikijumuisha na wataalamu say toka nje, ni vyuo vidivyozidi kumi vitasimama.
1.UDSM
2. MUHAS
3. SUA
4. MZUMBE
5. ARDHI
6. OPEN
7. KCMC
8. CUHAS
9. KAIRUKI ?????
10. ????????

I regret for those might feel offended. Masahihisho yanakaribishwa
Kwa hiyo unasema TCU ni bomu tuifute kabisa maana haifanyi kazi yake kabisa ya uhakiki au ni hisia zako mkuu?
 
Ukifanywa uhakiki na tume huru ikijumuisha na wataalamu say toka nje, ni vyuo vidivyozidi kumi vitasimama.
1.UDSM
2. MUHAS
3. SUA
4. MZUMBE
5. ARDHI
6. OPEN
7. KCMC
8. CUHAS
9. KAIRUKI ?????
10. ????????

I regret for those might feel offended. Masahihisho yanakaribishwa
Hoya hivi vyuo vina sifa ipi
 
Tatizo la binadamu (sio watanzania pekee) hufikiri kwa 100% kuwa kusomea chuo fulani ndo kupata elimu stahiki. Ni kweli, ila sio kwa asimilia 100. Kuna watu wamesoma vyuo vya kawaida tu na ni wataalamu wazuri sana.

Ubora wa elimu ya juu unayoipata ni juhudu za mtu binafsi...kuwa na fikra huru na kile unachokisomea. Zama zimebadirika sana. Hata hivyo vyuo vinavyofahamika sana ni kwasababu ya utajiri na kuwa na uzoefu wa muda mrefu; pamoja na kutoa tafiti zenye mchango na kuisaidia jamii.
 
Watanzania ni watu wa mihemko tu but no visions no mission. Tutaendelea kuwa na wasomi wa maneno tu na vyeti vitendo hola na kusifia vyuo tukiwa tunaburuzwa na mataifa yenye "wasomi kazi" sio maneno na vyeti
Umeliona ilo mkuu
Mara utaskia chuo iki kizur ik kibaya lakn baada ya graduate hakuna cha maana kinachofanyika kwenye nchi
 
Sasa tuseme ni kweli TCU imeshindwa kufanya kazi yake wewe mwenzetu unajuaje ni hivyo hapo vitakavyo simama ukileta tume huru? Bado naamini hizo ni hisia zako. Na hiyo tume huru tuitoe wapi?
 
Back
Top Bottom