universities za india | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

universities za india

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by akrb, Aug 31, 2012.

 1. a

  akrb Senior Member

  #1
  Aug 31, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 103
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  habari zenu members.naomaba kuliza kama kuna mtu yeyote anayejua kuhusu universities za india yaani ubora wao,cost nakadhalika..
   
 2. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #2
  Aug 31, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Google universities in India
   
 3. NEW NOEL

  NEW NOEL JF-Expert Member

  #3
  Aug 31, 2012
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 837
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 60
  Kuna kampuni fulani inaitwa Global Education Link....wewe google utaiona. Inajihusisha na kutafutia wanafunzi vyuo mbalimbali nje ya nchi ikwemo India. Wameweka Costs katika website yao. Wewe fungua utaiona.
  Lakini pia India ni kati ya nchi ambazo zina sifa ya kutoa Elimu bora hapa duniani.
  Ila unapotafuta chuo hakikisha kinatambulika.
   
 4. a

  akrb Senior Member

  #4
  Sep 1, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 103
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  hakuna yeyote aliyewahi kusoma huko au ndugu au rafiki???anipe more details.
   
 5. a

  akrb Senior Member

  #5
  Sep 1, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 103
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  thanx,nitai google
   
 6. J

  Jimmy19823 Member

  #6
  Sep 1, 2012
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mie nimesoma Degree ya kwanza Engineering (4 yrs) India, niliipenda sana India kwa sababu ni wazuri sana hasa kwenye mambo ya IT, ICT na Engineering. Wako fit na wana labs na vifaa vizuri hasa vya technologia..ukisoma katika chuo kinachojulikana utakuta kina facillities nyingi na nzuri..hakika ukirudi na ukajilinganisha na wenzako waliosoma Programme hiyo hiyo hapa kwetu Bongo..unaona tofauti....kama unataka kwenda kusoma Engineering na science courses tafuta India Institutes of Technology (IITs) na india Institutes of Sciencs (IISc) then fuatia na vyuo maarufu..unaweza kugoogle ukaona Top 50 au 100 Univs in India....sasa kama wataka kusoma masomo ya biashara au sheria au jamii hapo sijui zaidi..
   
 7. J

  Jimmy19823 Member

  #7
  Sep 1, 2012
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama una maswali zaidi unaweza kuniPM pia:A S 465:
   
 8. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #8
  Sep 1, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,360
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Akrb pamoja na ushauri wote, kumbuka kuepuka matapeli wanaojiigiza kama mawakala wa college/university. You give them your money you are kwishney.
   
 9. l

  ladylyk Member

  #9
  Sep 1, 2012
  Joined: Sep 11, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jesuit universities zina fair fees. Iwapo una connection na wanafunzi wa Loyola waombe waku-connect na Fathers wao watakusaidia.
   
 10. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #10
  Sep 1, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,120
  Likes Received: 10,469
  Trophy Points: 280
  Nenda St. Joseph University Dar es Salaam watakupa list.
   
 11. a

  akrb Senior Member

  #11
  Sep 1, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 103
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  sina connection.
   
Loading...