Universities za India kutoa Bachelor's & Master's degree UDSM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Universities za India kutoa Bachelor's & Master's degree UDSM

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Sinkala, Jun 17, 2010.

 1. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #1
  Jun 17, 2010
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
 2. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #2
  Jun 18, 2010
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kwa wale wanaosoma IT nadhani watafaidi, kwani Wahindi wako fit sana kwenye mambo ya IT
   
 3. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #3
  Jun 18, 2010
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,655
  Likes Received: 2,897
  Trophy Points: 280
  Ngoja nimshtue dogo akapate maelezo zaidi
   
 4. Sugar wa Ukweli

  Sugar wa Ukweli JF-Expert Member

  #4
  Jun 18, 2010
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 373
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  imekaa vizuri hii!
   
 5. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #5
  Jun 19, 2010
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Mbona hujagonga kale ka button ?
   
 6. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #6
  Jun 19, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Ila mjiandae na mateso ya kuishi huko kwa wahindi maana lol watanzania wanateseka sana
   
 7. P

  Paul S.S Verified User

  #7
  Jun 19, 2010
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Kwakweli inabidi kujiandaa vizuri maana india sio kama uk au usa hamna kazi za kusema baada ya masomo ntafanya temp job kupata walau. india uende na upo full
   
 8. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #8
  Jun 19, 2010
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Hapana Fidel, classroom itakuwapo UDSM ila lecture zitakuwa zinatoka India tena ni LIVE LECTURES, unamuona lecturer muda huo huo anapokuwa anafundisha, naye anakuona. Ukitaka kuuliza swali unanyoosha kidole na anakuchagua uulize. Ni kupitia big screen kwa mfumo wa Videoconference. Nilipoliona hili tangazo ilibidi niende mwenyewe kuona itakavyokuwa inafanya kazi, na bahati nzuri muda huo kulikuwa kuna lecture inaendelea from India kwenda kwa wanafunzi wa Kigali. Nimesema LIVE LECTURES ili uone kuwa hii ni tofauti na online degrees ambazo watu huwa wanafanyiana paper wakati mwingine, lakini kwa hii usipoingia class umeumia.
   
 9. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #9
  Jun 20, 2010
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Nadhani niliweka bandikio hapo juu kumjibu Fidel
   
 10. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #10
  Jun 22, 2010
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,655
  Likes Received: 2,897
  Trophy Points: 280
  Ila hiyo deadline ipo karibu sana, wangeiweka mbele kidogo
   
Loading...