Unapanuka kwa maana gani mkuu ?Kumbe hata hujaelewa, zimeona hayo maeneo jinsi yalivyokuwa billions of years ago. Yani kile zilichokiona sasa ni cha hizo billion light years ago maana huo mwanga ulizofikia umetoka huko billions of light years ago.
According to physics universal had to be expanding or contracting at a speed of light. Einstein aligundua hili lakini akawa mwenyewe anapingana nalo, na kufanya formula yake ikubariane na upingaji wake, alaweka kitu kinaitwa cosomological constant which was a mistake ambapo baadae ilikundulika kuwa ni kweli ulimwengu unapanuka kwa kasi ya spidi ya mwanga, so mawazo ya Einstein yalikuwa sawa tu ila akajishtukia tu.
Nyota tunazo ziona juu nyingi zimesha kufa miaka mingi sana tulicho salia ni kuona mwanga wa nyota ambao bado upo safarini
Yanaibua maswali mengi kuliko majibu. Kuyasoma na kuyazingatia Mambo ya unajimu ni kutafuta kichaaHaya makolokolo huwa yanapunguza memory space kwenye ubongo wangu tu. Mke wangu aliniuliza time travel ni nini na inafanyaje kazi, nikamwambia niliona wamepost huko JF ila haieleweki sijui kama wengine wanaielewa.
Ndiyo unapanuka kwa style hiyo tena kwa kasi ya mwangaUnapanuka kwa maana gani mkuu ?
Kwamba mwanzo ulimwengu ulikuwa kama puto alafu kadri siku zinavyokwenda ndo ulimwengu unapanuka kama vile ambavyo mtu anaouliza puto nalo kupanuka mkuu ama kupanuka kivipi ?
Nini faida za moja kwa moja tunazozipata kutokana na kugundua mambo ya kwenye sayari nyingine?
Kwanini mataifa makubwa yana invest million dollars kwenye tafiti hizo?
Ndiyo unapanuka kwa style hiyo tena kwa kasi ya mwanga
Unaelewaje nikikwambia huyu mbwa anakimbia kwa kasi ya gari? Au napo utaeuliza hilo gari linaenda wapi?Huo mwanga unatoka wapi na unaenda wapi? Leo narudi shule huenda pindi nasoma sikuwa na uwezo wa kuhoji haya mambo.
Hivi wakuu kwa anaejua spidi ya mwanga na spidi yakutazama kitu kwa macho inamaana spidi ya macho ni kasi kuliko ya macho...
Kuna mwembe, kuna mpunga, kuna magimbi, kuna mchenza n.k, lakini yote ni mimea japo ina sifa tofauti lakini yote ni mimea tofauti yake ni kwamba kila mmoja una jina lake.Nikisikia uwepo wa sayari nyingine zenye sifa tofauti na dunia tuishiyo naendelea kuchanganyikiwa.
Kama dunia ni sayari basi yake magimba mengine nane yaliyogunduliwa na wanasayansi kwenye mfumo wa jua yapatiwe jina tofauti na sayari.
Hatuwezi weka vitu vyenye sifa tofauti katika kundi moja.
Masuala ya anga yanachanganya sana. Embu tufikirie kwa upana nje ya darasa kisha turejee kwa uchache darasani.Unaelewaje nikikwambia huyu mbwa anakimbia kwa kasi ya gari? Au napo utaeuliza hilo gari linaenda wapi?