Companero
Platinum Member
- Jul 12, 2008
- 5,609
- 1,734
Baadaye utasema tutamlilia Bob Mugabe pia.
Ahistorical Zakumi, historia ya "Zimbabwe Liberation" haiwezi kufutwa kirahisi namna hiyo - it cannot be dismissed easily like that, wait and see!
Baadaye utasema tutamlilia Bob Mugabe pia.
Hatujafanya lolote ktk medani za anga kwa sababu hatutengenezi vyombo vyetu vya anga wenyewe. Hatutengenezi kwa sababu hatuwezi kutengeneza!
Hatujafanya lolote ktk medani za anga kwa sababu hatutengenezi vyombo vyetu vya anga wenyewe. Hatutengenezi kwa sababu hatuwezi kutengeneza!
Juli:
Hata hao mabepari siku hizi wanaangalia zaidi quality of life na sio kuwa pride ku-own properties ambazo hazisaidii.
Hivyo vyombo vya anga viliwanufaisha sana wageni wanaokuja kutembea kuliko watanzania.
Mpaka sasa hivi I care less about Nyerere kwa sababu umilikia wa hivyo vyombo haukuenda sambamba na quality of life. Ilikuwa pride tu.

Kweli kabisa aisee...kwa mfano kule kwetu Bariadi hakuna hata kiwanja kidogo cha ndege. Sasa hiyo midege ya enzi hizo sijui hata iliwanufaishaje Wanyantuzu....
Emirates wanatengeneza vya kwao wenyewe? South African Airways je? Nimesemea rejea ile tovuti ya ndege - yaani ndege yetu waliiuza, Wasauzi wakainunua na kuipaka rangi sasa wanatesa tu kwenye medani ya anga, mara Jozi to NY via Dakar au Sarl Island, mara hao Jozi to London au Jozi to Dar!
Quality of life is an investment. It does not fall like a pie from the sky. Rather, it is cumulative. Ile mindege bado tungekuwa nayo tungekuwa kama Dubai sasa, hata hoteli la chini ya maji tungekuwa nalo, proudly!
Matatizo yenu watanzania, mnafanya biashara bila ya kuwa na business model na core values.
Kila siku kukicha mnakurupuka kununua infrastructures bila ya kuelewa jinsi ya kuzitumia.
Afu Mkapa analalamika kuwa IMF/WB walituambia tuuze.
Kweli kabisa aisee...kwa mfano kule kwetu Bariadi hakuna hata kiwanja kidogo cha ndege. Sasa hiyo midege ya enzi hizo sijui hata iliwanufaishaje Wanyantuzu....
Dubai siyo wajamaa wale wewe. Au unadhani tungeyapata yale maghorofa kupitia ujamaa na kujitegemea?
Core values walizizika hao kina Mkapa. Walidhani wakianzisha TIC na Sheria ya Uwekezaji pamoja na kubadili Sheria za Madini, Kodi na Manunuzi basi kila kitu kitajipa. Inabidi tuzirejee Core Values zetu za Mwongozo!
Quality of life is an investment. It does not fall like a pie from the sky. Rather, it is cumulative. Ile mindege bado tungekuwa nayo tungekuwa kama Dubai sasa, hata hoteli la chini ya maji tungekuwa nalo, proudly!
Companero:
Miaka ya sitini, sabini, themanini, kulikuwa na vitu vinasisima kama symbols za taifa.
Vitu hivyo ni mashirika ya ndege, vyuo vikuu, viwanja vya ndege n.k. Hivyo nchi yoyote ilipopata uhuru iliakikisha inakuwa navyo.
Sasa hivi mindset ni lazima zibadilike. Tuachane na symbols na tuwe kwenye BIZNIS.
Na miaka ya elfu mbili wenzetu wana-bail out hayo mashirika ilhali sisi yetu tumeyaua! Ndio maana nasema tutamkumbuka sana Mwalimu. For once, weka pembeni prejudices zako, usikilize wosia huo wa Baba wa Taifa:
Upande wa serikali...vyama [vya ushirika]...ee
Vyama kwa kweli serikali lazima
Visaidieni vyama hivi katika yale ambayo
tuna uwezo nayo tuna uwezo nayo....haya
mengine...tutayaua mashirika...haya ndiyo+
wengine wako nje wanataka yafe ndiyo+
sasa tusikubali tusikubali tuwacheke
wajinga wale....nani anataka mashirika yetu
yafe ndiyo kataeni kabisa kabisa
ndiyo ya kwao hayafi mbona hala kuja
kuua mashirika yetu bwana+
-Presidential Oratory for the Pan-African Cause: The Nyerere Harangues
Mkuu, hii elimu unayo weka hapa ni kubwa, sijuwi kama utaeleweka.
Asanke mkuu