United in Islam but economically asunder...................... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

United in Islam but economically asunder......................

Discussion in 'Jamii Photos' started by Rutashubanyuma, Feb 7, 2011.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Feb 7, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,305
  Likes Received: 417,643
  Trophy Points: 280
  <table width="100%" align="left" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0"><tbody><tr bgcolor="#ffffff"><td class="kaziBody" bgcolor="#ffffff">[​IMG] </td> </tr> <tr bgcolor="#ffffff"> <td class="kaziBody" bgcolor="#ffffff">PRESIDENT Jakaya Kikwete consoles mourners and relatives of veteran Muslim leader, the late Sheikh Kassim Mtopea, when he visited the deceased¬ís home in Temeke, Dar es Salaam, on Sunday. (Photo by Freddy Maro)</td> </tr> <tr> <td valign="top" align="center" bgcolor="#ffffff"><table width="100%" border="0"> <tbody><tr> <td><table width="100%" border="0" cellpadding="1" cellspacing="1"> <tbody><tr> <td bgcolor="#d1d1d1"><table width="100%" bgcolor="#ffffff" border="0"> <tbody><tr> <td valign="top" align="left" bgcolor="#d7f2f2"><table width="100%" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0"> <tbody><tr> <td class="kurasahead" valign="top" align="left" bgcolor="#f4fdfd">Editorial</td></tr></tbody></table></td></tr></tbody></table></td></tr></tbody></table></td></tr></tbody></table></td></tr></tbody></table>
   
 2. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #2
  Feb 7, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,305
  Likes Received: 417,643
  Trophy Points: 280
  Udini ni hoja ya JK tusahau tofauti zetu za kiuchumi na kugangamala na udini ambao wanaonufaika nao ni wachache sana................
   
 3. KIMICHIO

  KIMICHIO JF-Expert Member

  #3
  Feb 7, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 1,184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Mod where were you?hii sio inshu ya kujadili hapa we need challenge and not critics.
   
 4. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #4
  Feb 7, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  masikini shkh mtopea kumbe kafariki? RIP kiongozi.

  inaonekana alikuwa muadilifu san, yaani licha ya umaarufu wake wote hayo ndio yalikuwa makzi yake? the government need to act for the interest of te people.

  but mbona naona kama JK hajavua viatu? au siyo ishu hapo
   
 5. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #5
  Feb 7, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,225
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  ningekuwa mod nakupiga ban ya maisha
   
 6. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #6
  Feb 7, 2011
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  Hapa Udini wa JK uko Wapi?
  Tuwe na Ustaharabu wakati mwingine, waliokaa hapo mnataka kuniambia hakuna wakristo?

  Kama JK ana UDini basi sio kwa hili, hapo kaenda msibani jamani
   
 7. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #7
  Feb 7, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,305
  Likes Received: 417,643
  Trophy Points: 280
  PHP:
  ningekuwa mod nakupiga ban ya maisha


  Ndiyo maana huwezi kuwa.................Inabidi ujenge hoja halafu ndiyo ufikie tamati hiyo ambayo lengo lake ni kuwaziba wenzio mdomo..................I truly pity you..........it is not only politically correct views which should be shared but even those which are politically unpopular.....................
   
 8. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #8
  Feb 7, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,305
  Likes Received: 417,643
  Trophy Points: 280
  PHP:
  Hapa Udini wa JK uko Wapi?
  Tuwe na Ustaharabu wakati mwinginewaliokaa hapo mnataka kuniambia hakuna wakristo?
   
  Kama JK ana UDini basi sio kwa hilihapo kaenda msibani jamani
  Issue siyo msiba........................JK anapokosolewa hukimbilia kuwa anachukiwa kutokana na imani yake ya kidini....................lakini wakosoaji wake wanakerwa na matabaka ya kimapato ambayo hata hao waislamu ni waathirika wakubwa...............................kwa hiyo misibani kwenda ni changa tu.........lakini halifichi ukweli kuwa viongozi ndiyo wanajaribu kuyakuza matabaka ya kiimani ili tusahau au kuogopa kuhoji sera mbovu zilizokithiri ubinafsi..........................asiyeweza kutafakari ataona huo ni msiba lakini .......................it is mopre than msiba..............................it is deceit and cunning leader ready to pounce on our wealth fir personal gain and exploiting religious differences as his shield..............................
   
 9. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #9
  Feb 7, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,305
  Likes Received: 417,643
  Trophy Points: 280
  Suala hapa uwe makini kuangalia tofauti ya kimapato kati ya JK na waumini wenzie wa kiislamu...............na ya kuwa shida ya nchi hii siyo udini kama baadhi yenu mlivyokimbilia kujikitisha ila ni tofauti kubwa ya kimapato ambayo ufisadi ndiyo chanzo chake...............................JK kwenye picha hii anaonekana amenawili na mtanashati lakini angalia waumini wenzie tena wa dhehebu moja walivyo wachofu kwa shida ya umasikini sasa suala la udini linatoka wapi au labda "United in Islam but economically asunder" ni kimombo ambacho baadhi yenu kimewapita kando?.................observe and think deeply before you rush to awkward conclusions.................................Angalia ni JK tu ndiye aliyevaa viatu na wengine viatu wamevua au huwenda hata hawana walikuja kwa makandambili ambayo wameyaacha nje.............Tazama gharama za mavazi na mpasuko wa kimapato ambao picha hii umetufikishia...............Angalia nyumba ilivyochoka ya wafiwa au jamaa zao there so much to dissect here...

  [​IMG]
   
 10. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #10
  Feb 7, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,305
  Likes Received: 417,643
  Trophy Points: 280
  PHP:
  Hapa Udini wa JK uko Wapi?
  Tuwe na Ustaharabu wakati mwinginewaliokaa hapo mnataka kuniambia hakuna wakristo?
   
  Kama JK ana UDini basi sio kwa hilihapo kaenda msibani jamani
  Ni nani kaongelea udini?

  Suala hapa ni mpasuko wa kimapato hata kwa waislamu wenyewe na JK anatumia udini ili kuufunika huo ukweli sasa udini unapotumika kufunika matabaka ya kimapato na nyie mnashangilia .......na kumtetea JK......leaves me shell shocked..............................
   
 11. C

  Campana JF-Expert Member

  #11
  Feb 7, 2011
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 207
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Na hawa wajukuu wa Mzee vipi, maana mazoezi ya shuleni wanayarudia ukutani kwa babu, tena in red and pencil. Hesabu yenyewe mimi siimudu
   
 12. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #12
  Feb 7, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,305
  Likes Received: 417,643
  Trophy Points: 280
  PHP:
  Mod where were you?hii sio inshu ya kujadili hapa we need challenge and not critics.
  If economical decimation is not an issue to be discussed in JF then how do we develop and nurture independent thinkers and actors within JF community?
   
 13. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #13
  Feb 8, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,225
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Kwani JK amejibu thread yako!, anakujaje hapa?!
   
 14. Straddler

  Straddler JF-Expert Member

  #14
  Feb 8, 2011
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 719
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Islam? What has the President attending a funeral got to do with Islam..????????????

  Na hapa je? Amebadili dini? 8E9U9662.JPG
   
 15. A

  Aalim Member

  #15
  Feb 8, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ukiacha Kikwete mimi hapa namtambua Shehe Alhadi Mussa na Mwanafunzi wake (nyuma yake), ingawa wamevua viatu lakini si wachovu.

  Naona tatizo kubwa la nchi yetu ni umasikini uliokithiri ambao chimbuko lake ni utawala mbovu. Ni pale tu jamii ya wasomi itakapoacha ajenda za siri zichaguliwapo kuingia madarakani ndipo maendeleo ya kweli yatapatikana. Cha kustaajabisha hapa JF almost kila mada inayotolewa watu wanachangia wakiwa na ajenda ya UDINI.

  Comrades, let's exhaust the possibilities to take this country forward and not been limited by UDINI.
   
 16. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #16
  Feb 8, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,373
  Likes Received: 3,135
  Trophy Points: 280
  Nimeangalia sana lakini sijamuona sheikh yahaya yule mlinzi wa waislamu na kikwete.................ndio kilio changu
   
 17. Resi

  Resi Member

  #17
  Feb 8, 2011
  Joined: Aug 29, 2007
  Messages: 73
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Naona wengine mnashindwa kusoma picha nzima...kuna kitu kimoja mie nimeona hapo ambacho kimenivutia sana...ndugu zetu wa Ki-Islam hawatumii hizi occasion za misiba ku-accentuate tofauti zao za kiuchumi, tizama...wote wanavaa kanzu, kofia, wanavua viatu (JK kajisahau, labda! lakini pia - hapo si msikitini!!), wanakaa chini; hii ina-highlight the humanity that is common to all of us, accentuated by the event in question - which is death - that will befall all of us eventually. Labda udini upo, japokuwa sioni utamfaidisha JK namna gani!! Pengine tunachotakiwa kutilia mkazo ni kuzuia kumea na kukua kwa "fundamentalism" ambacho kwangu mimi ndio tishio kwa maendeleo na amani ya nchi. Hii tofauti ya kiuchumi ipo kwa kila dini, na hao mafisadi wako wa kila dini, kabila n.k. Kwa mfano, kwetu Bukoba nadhani majority ni Wa-Kristo, lakini kwa mtizamo wa haraka-haraka, umasikini ni mkubwa pia, tena wa kutisha.
  Tutilie mkazo elimu, kujituma, ubunifu, bidii, na mambo kama hayo...tutafika tu. Elimu, si tu kukaa darasani, la hasha, bali elimu ya kiwango cha juu; tuwe na desturi ya kusoma vitabu na majarida - siyo siri - Wa-Tz wengi hatupendi kusoma, baada ya shule tunatafuta kazi, tukipata basi mwisho wa mchezo!! Haifai kuacha ku-elimika, graduation isiwe mwisho wa kujielimisha.
   
 18. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #18
  Feb 8, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,305
  Likes Received: 417,643
  Trophy Points: 280
  PHP:
  Naona wengine mnashindwa kusoma picha nzima...kuna kitu kimoja mie nimeona hapo ambacho kimenivutia sana...ndugu zetu wa Ki-Islam hawatumii hizi occasion za misiba ku-accentuate tofauti zao za kiuchumitizama...wote wanavaa kanzukofiawanavua viatu (JK kajisahaulabdalakini pia hapo si msikitini!!), wanakaa chinihii ina-highlight the humanity that is common to all of usaccentuated by the event in question which is death that will befall all of us eventuallyLabda udini upojapokuwa sioni utamfaidisha JK namna gani!! Pengine tunachotakiwa kutilia mkazo ni kuzuia kumea na kukua kwa "fundamentalism" ambacho kwangu mimi ndio tishio kwa maendeleo na amani ya nchiHii tofauti ya kiuchumi ipo kwa kila dinina hao mafisadi wako wa kila dinikabila n.kKwa mfanokwetu Bukoba nadhani majority ni Wa-Kristolakini kwa mtizamo wa haraka-harakaumasikini ni mkubwa piatena wa kutisha.
  Tutilie mkazo elimukujitumaubunifubidiina mambo kama hayo...tutafika tuElimusi tu kukaa darasanila hashabali elimu ya kiwango cha juutuwe na desturi ya kusoma vitabu na majarida siyo siri Wa-Tz wengi hatupendi kusomabaada ya shule tunatafuta kazitukipata basi mwisho wa mchezo!! Haifai kuacha ku-elimikagraduation isiwe mwisho wa kujielimisha.
  I am highly impressed by this input.......................................very thoughtful...........................
   
 19. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #19
  Feb 8, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,305
  Likes Received: 417,643
  Trophy Points: 280
  PHP:
  Na hawa wajukuu wa Mzee vipimaana mazoezi ya shuleni wanayarudia ukutani kwa babutena in red and pencilHesabu yenyewe mimi siimudu
  Point taken...................
   
 20. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #20
  Feb 8, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,305
  Likes Received: 417,643
  Trophy Points: 280
  PHP:
  [B] [/B]

      
  Nimeangalia sana lakini sijamuona sheikh yahaya yule mlinzi wa waislamu na kikwete.................ndio kilio changu
  Nimesikia anapekechwa na gonjwa lisilo na tiba.........................................
   
Loading...