Ungwana gani huu?

Brightman Jr

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2009
Posts
1,224
Reaction score
237
Jamani niko safarini kutoka Shy kwenda Mby kupitia Nzega,Tbr, nk. Hii bac nnayo safiri nayo imejaza abiria hadi wengine wamesimama. Sasa shida iko hapa.., kuna jamaa kasimama karibu nami hapa, yaani makalio anayalengesha karibu na pua yangu yaani kuna harufu kali inatoka, si ile ya kupuliza la hasha.! Nikimwambia sogea huko kidogo jamaa haelewi, halafu bonge la baunsa. Jaman huu ni ungwana kweli? Harufu hii mpk Mby nitapona?
 
Si utani kuna jamaa humu wamezichapa wakigombea seat moja ya J1. Mambo ya mabasi na maajent kugonganisha namba za seat..!
 
Vumilia ndugu..makalio asili yake ni harufu..hata uyaoshaje hayana shukrani!
 
Mpige kidole atasogea pembeni kama hastuki mchome sindano kwenye tundu lake linalotoa uchafu
 
pole sana, vumilia tu ndugu maadamu ufike salama!
 
...we unaogopa harufu....
Badala ya kuogopa ajali.... enwayz atakua kafunga irizi ya mzoga huyo.....
 
...we unaogopa harufu....
Badala ya kuogopa ajali.... enwayz atakua kafunga irizi ya mzoga huyo.....
 
WaliNazi ajali naziogopa lakini hii harufu balaa.....!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…