Ungeweza kumvumilia huyu mwanamke

Ungeweza kumvumilia huyu mwanamke

Kawaida
Ndugu, Wazazi Wetu Hawajui Kusoma Na Kuandika Wametuzaa Mpaka Tumekuwa
Tumewanunulia Simu Unamwambia Ikiita Bofya Hapa Na Maisha Yanakwenda Vema


Hilo Jambo Dogo Na Lakawaida Sana
 
Aisee! Yaani huyo jamaa yako ni pungasese.
Kichwani ni utopolo kabisa, mwanaume uliyekamili huwezi kuelezea mapungufu ya mkeo kwa rafiki zako huko ni kumdhalilisha mkeo inamaana mpaka hapa hata ww unamdharau Shemeji yako.

Halafu pili hata ww hazikutoshi umejaa umbea na kiherehere kwakuwa rafiki yako kakwambia na ww unayaleta mtandaoni ili ikusaidie nini?
Rafki yako kakubaliana na hayo mapungufu ya mke wake kilichokufanya ulete maada hii hapa ni nini?
 
Sasa hiyo changamoto mbona ni ndogo sana, dunia ilivobadilika hivi unamuachaje mkeo asijue kusoma na kuandika, mbona kuna hata evening classes anaweza hudhuria,au ukamtafutia mwalimu akampiga brush akawa yuko vizuri, huyo jamaa yako ni mbinafsi tu hataki mkewe ajue ndyo maana, sasa amvumilie tu.

Afu kwanini alimuoa akiwa binti mdogo hivo darasa la pili?, alimkatili haki yake ya kielimu siyo vizuri.
 
Muwe mnaleta mada zenye afya, idadi ya watu waliopuuzwa inakuwa ndefu.
 
kama kweli ni rafikiyo, hukupaswa kumuanika humu.....
 
Unajuaje bibie ukute ni mapenzi baina yao yaliwavuta na kuingia kwenye ndoa
Sasa hiyo changamoto mbona ni ndogo sana, dunia ilivobadilika hivi unamuachaje mkeo asijue kusoma na kuandika, mbona kuna hata evening classes anaweza hudhuria,au ukamtafutia mwalimu akampiga brush akawa yuko vizuri, huyo jamaa yako ni mbinafsi tu hataki mkewe ajue ndyo maana, sasa amvumilie tu.

Afu kwanini alimuoa akiwa binti mdogo hivo darasa la pili?, alimkatili haki yake ya kielimu siyo vizuri.
 
Sijaona ugumu wa kuishi na mwanamke wa namna hiyo, wewe mleta mada ndio naona unatia ugumu!
Kuna muda unataka kumpelekea meseji uko mbali na kupiga simu haiwezekani. Huyu unasema sio tatizo? Nilikuwa nje ya nchi ambayo huwezi amini kuna watu hawajui kusoma na kuandika. Uingereza. Kwenye duka nilenda kununua friji akaja jamaa anataka awauzie jiko lake used aongezed pesa wampe lingine. Wanamwambia a dika anwani ya ulipo tulifuate akashindwa ila anjua kutamka ile namba ya nyumba na mtaa. Mwenzangu akasema kwa kiswahili huyu hajui kuandika. Yule mzungu menye duka akaandika anuani. Alipoondoka yule mzungu akasema kwa kiswahili wako huku pia wasiojua kusoma na ku andika. Tuliona aibu lakini tuliendelea na biashara. KUNA taabu. Baba ana miaka 95 anajua namba yangu ya simu na anapiga NASHKURU SANA KWA HILI.
 
Sijaoa ila naishi nao. Kama inakuwia vigumu kumpumzisha yeye binafsi kuna wataalamu, angewatumia.

Sent from my LM-Q710(FGN) using JamiiForums mobile app
Kuishi nao... si issue... unaishi nao kama nani? Mama, dada, shangazi, binamu, jirani au MKE? katika hao kila mmoja ana namna yake ya kuishi naye... kwa mfano... umeondoka nyumbani asubuhi, ukarudi saa sita usiku... Reaction ya Mama yako haitafanana na ya dada yako, shangazi yako, binamu yako, jirani yako na wala ya mke wako... Kila mmoja ata-react tofauti kutegemeana na yeye ni nani kwako, na ana mipaka gani kwako.... UNAYELALA NAYE KITANDA KIMOJA MKIWA MMEJIFUNIKA SHUKA MOJA NDO ATAKUWA NA MASWALI MENGI ZAIDI KULIKO HAO WENGINE
 
Jamaa amekosea Sana kumfokea Mke wake mbele za watu

Kama hii story ni Y kweli
 
Kuishi nao... si issue... unaishi nao kama nani? Mama, dada, shangazi, binamu, jirani au MKE? katika hao kila mmoja ana namna yake ya kuishi naye... kwa mfano... umeondoka nyumbani asubuhi, ukarudi saa sita usiku... Reaction ya Mama yako haitafanana na ya dada yako, shangazi yako, binamu yako, jirani yako na wala ya mke wako... Kila mmoja ata-react tofauti kutegemeana na yeye ni nani kwako, na ana mipaka gani kwako.... UNAYELALA NAYE KITANDA KIMOJA MKIWA MMEJIFUNIKA SHUKA MOJA NDO ATAKUWA NA MASWALI MENGI ZAIDI KULIKO HAO WENGINE
Tunazungumzia kumfundisha mwenza wako kusoma, shida iko wapi? Kama huwezani naye kutokana na ukaribu wenu ajiri msaidizi.

Sent from my LM-Q710(FGN) using JamiiForums mobile app
 
mimi ningemfundisha mbona kitu kidogo tu kusoma na kuandika..!
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Inawezekana kusoma kwako ndio kumefanya uyajue hayo...

Na umesema ungekuwa ungekuwa wewe ungeenda kumsemea mkeo home.. swali, kwenye mazingira ya mhusika, unamtoaje mkeo maeneo yale bila kubadirisha mitazamo ya watu hata kidogo..!?
Wa kulaumiwa hapa ni mhusika wala sio mke. Wewe unajua kuwa mkeo hajasoma, kwa nini umwache bila ulinzi? Kama nampenda mke wangu na najua hajui kusoma, ningehakikisha namshika mkono kila awendapo. Kuhusu hiyo mitazamo ya watu, maji yesha mwagika (keshakosea choo) nikamtoa, sasa nini kifanyike zaidi tu ya kumuelekeza choo chao?
 
Back
Top Bottom